Recent content by abdullahsida

  1. A

    JamiiForums Tanzania Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

    Vuta subira kwani zimepita wiki tano saivi?
  2. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo mwajiji nije Dar
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

    Hata kama angekuwa baba yake ulitaka huyo binti afanye kazi gani
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hatimaye hoja ya msingi ya kambi ya upinzani bungeni kutoka nje imeonekana

    Tumeamua kufanya kazi anae dhani kwamba tutashindwa atashindwa mwenyewe kwa sababu mungu yu pamoja nasi......
  5. A

    JamiiForums Tanzania Magesa Mulongo na mti upindao

    Duh!
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake siku zenu za kuringa ni chache sana

    Mwili unajengwa kaka acha hizo
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwait: Mwanaume aoa wanawake wanne kwa siku moja!

    Allah amesema oeni mnaowapenda ktk wanawake wawili, watatu,na wa nne sasa sijajua nikipi unachopinga wewe hapo
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwait: Mwanaume aoa wanawake wanne kwa siku moja!

    Dada yangu mariam abdallah rudi darasani uusome uislam hakuna udhalilishaji hapo hizo fikra zako hata hazipo kwenye dini
  9. A

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    Hujielewi wewe
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwait: Mwanaume aoa wanawake wanne kwa siku moja!

    Barakallahu fiiy him wajama'a hum fiy khaira[emoji307] [emoji307] [emoji307]
  11. A

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya Makamu wa Rais ifanyiwe kazi haraka

    Umejiaibisha kumtaja sumaye
  12. A

    JamiiForums Tanzania Tuache ujima! Tuache Rais Magufuli asemwe, kukosolewa hata kushauriwa. Tuache vitisho

    Uislamu haujatufundisha kuazimisha vifo ndg hoja yako dhwaifu na huenda uislam haujaufaham ww ingia darasan usome vizur uone uislam una hitaji nn ss tumeachiwa vitu viwili tu na mtume wetu kitabu cha Allah na Sunnah za mtume na wala cyo cuf wala ccm
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tuache ujima! Tuache Rais Magufuli asemwe, kukosolewa hata kushauriwa. Tuache vitisho

    Ndani yake kuna ukweli na uongo ama uongo ni pale mwandishi alivyo anza kuxema waislam cjui wana lalamika mwandishi unatakiwa kujua kuwa waislam hwategemei nguvu ya magufuri ktk maisha bali Allah peke yake ndo anategemewa kwa hivo acha kutaka kutafuta umaarufu kwa njia ya kidin na cku zote...
Back
Top Bottom