Muungano uwepo.ila haki iwe pande zote mbili kinachotufanya wanzanzibar kudai ni haki yetu tunataka mamlaka kamili zanzibar irudi kama zamani ni hilo tu wadau zanzibar ni nchi ila haijijengi kutokana na muungano uliochakachuliwa sasa hapo.kuna tatizo kudai mamlaka ya nchi yetu
Kwa kweli ugoro umemlewesha sana CUF ni chama cha wananchi wa Tanganyika na Zanzibar hata dunia inajua kama akisema hivyo na sisi wanzanzibar tuseme nini kuhusu Chadema au CCM jamaa arudi shule
Zanzibar kwanza miaka 50 inatosha kwa kweli mwenye macho anaona zanzibar ilikua inaitwa ulaya ndogo leo wapi tunapelekwa maisha yamekua magumu tuachwe tupumue:mad::mad:
sawa mzigo anao jiandae ukutane nae akuachie kilo 2 za HIV wewe sasa ni mtu mzima baada ya kuangalia familia yako unahangaika na watoto wadogo jee angekua mtoto wako anafanyiwa mchezo kama huo ungejisikiaje badilika kaka dunia ndio hii hii angalia familia yako ili ije kua inamtambua Mungu
pole sana brother naamini umri umeenda usiwaze kua na mpenzi bali tafuta mke ili udunishe familia mimi yamenikuta nimeamua kubadilika nina watoto 3 sasa na demu walionitenda wanaendelea kutanga tanga na njia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.