Recent content by abdukarim

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Habari wana jf,ninashida na smart phone.Nina sh laki moja keshi nipo Dodoma jiji mtaa Kikuyu ,mwenye biashara tuongee.No ya sim 0712222751
  2. A

    JamiiForums Tanzania Bashe awataka wabunge kutopitisha bajeti ya Wizara ya Kilimo

    Hvi kwan ss tuna wabunge au tuna mifano ya wabunge?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Bandarini: TRA kupiga mnada makontena 20 ya Paul Makonda kwa kushindwa kulipa kodi

    Mmh! sijui kama inawezekana kama atakuwa huyo first born
  4. A

    JamiiForums Tanzania Watani zangu ni nani aliyewaroga?

    Bashite moja hiyo hakuna ubishi
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pres. Kenyatta steals another 10bn from NYS

    Duuuu!!! namshukuru mamaangu na babaangu walinilea vzr na kwa maadili.Kutukana tusi kama hilo kwa mtu nisie mjua wala hata sijawah kumuona tena kwa vitu vya ajabu eti pesa wanakula wengne.Mungu akusamehe akupe maarifa kidogo angalau ujitambue.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kesi ya masheikh wa Uamsho vs Kesi ya Mauaji ya Lulu: Haki iko Mbinguni

    Huwa nasikitika na hili suala,kama ni waharifu si wahukumiwe basi ili ijuliane? Bahati mbaya waislam hatujitambui make mashekh wamefungwa wakati wa J. K lakini aliondoka bila kuacha msukumo wowote wa kujua ukweli wa hli jambo.Tatzo ni kwamba viongozi wote Tz wenye mamlaka ambao ni waislam huwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ninauza simu aina ya Tecno W5

    Upo wap mkuu
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Housegirl anafaa sana ila sitaki aendelee kufanya kazi hapa home. Mke wangu ni tufani

    Mkuu wewe mburura kabusa yaani mwanamke unampa afasi ya kukutawala kiasi hicho? kwanza ww kabila gani alaf unakuja unalia lia hapa kwa wanaume wenzio.Mfanya kazi ulimleta asaidie kazi sio kufanya kazi ndoo maana mnamuita msaidiz wa kazi.Mkuu cha kula chako cha wikendi na cha usiku jukum la...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Dhahiri CCM inakurupuka, yaamua kuagiza sukari nje, na agizo la Majaliwa la walioficha mafuta limefanikiwa?

    Majaliwa hajawah fanikiwa,mnakumbuka igizo la Faru John mpaka leo Kassim hamna kitu.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Jarida la Fobes linalochapishwa nchini Marekani limetoa orodha ya watu kumi wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani

    Kwahiyo bongo hakuna hata mmoja? Hii haiko sawa.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Fursa katika kilimo cha viazi lishe, tuchangamkieni upesi

    Mkuu tuwambie kingilio bei gani
  12. A

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania kuna competent actuaries wa kutosha?

    Very truth mkuu
  13. A

    JamiiForums Tanzania Karibu katika mjadala wa "HALI YA ELIMU AFRIKA" Chimwaga Hall May 18, 2018

    Leo ndoo wanaona ila wakiwa madarakani hawaoni,upumbavu mtupu
  14. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunaoishi nje ya Nchi ( Diaspora) Tukutane hapa

    Wee jamaa umamefanya ni cheke sana mpaka nimetoa machozi na bahati mbaya nipo kwenye daladala.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Interviews za Ali Kiba zinaboa; Yeye kwake kila kitu ni "Personal"

    Ni kweli Kiba anazengua ,usiri katika mambo yako kama binadam ni vzr ila kuna mambo kama msanii lazima uwe open ili watu wakufaham hasa washabiki zako na wajifunze kutoka kwako.
Back
Top Bottom