Ninauza simu aina ya Tecno W5

Ninauza simu aina ya Tecno W5

kitumbotala

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
516
Reaction score
625
Ninauza simu hii ninayoitumia Tecno W5 ni nzuri haina tatizo, nauza kutokana na dharura iliyonipata, now bado ni mpya na ni nzuri
Bei ni 150,000/=

Nioe namba nikupigie
 
Ninauza simu hii ninayoitumia Tecno W5 ni nzuri haina tatizo, nauza kutokana na dharura iliyonipata, now bado ni mpya na ni nzuri
Bei ni 150,000/=

Nioe namba nikupigie
nina 85 hapa. upo wapi niikague km utapenda hicho kiasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom