Recent content by Abdmas007

  1. Abdmas007

    Xiaomi Redmi 1s & 2

    Mkuu ukiweza jaribu kuchek na Mi Tv utupe na prices pia mi nazihitaji sana
  2. Abdmas007

    msaada tafadhali kwa wataalamu wa uzazi hususani kwa mwanaume.

    Yes kufunga ndo tiba sahihi kwa matatizo yako
  3. Abdmas007

    Jina lako kamili ni nani?

    Naitwa Atuntufye Penyakarangamboga
  4. Abdmas007

    Mliopo kwenye magroup, line za kuongea bure za zantel

    Tafteni watu creative wa marketing kampuni ifufuke kwa style mnayoenda nayo kampuni itakufa maana huduma zenu ni so unrealistic, kama unafanya kazi Zantel ongea na management yenu watu tupo wenye skills za marketing na tunaweza irudisha Zantel kwenye pick, for more info nichek PM
  5. Abdmas007

    The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

    Damn it!!!! Mbona Fox wanazengua sasa
  6. Abdmas007

    Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

    Nimekusoma kaka,na shukrani sana kwa hii trick kilichobaki ni kuvuta modem yangu sasa
  7. Abdmas007

    Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

    Kama kweli inafika 14Mps itanifaa sana,na ni bonge la revolution tiGo wamecheza vizuri soon nami ntavuta yangu nile kuku kwa mrija
  8. Abdmas007

    The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

    Wakuu Hong25 Bulldog mnaonaje ikianzishwa thread maalumu ya ku discuss series zote latest ili tuzidi maujanja na updates mbali mbali
  9. Abdmas007

    The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

    Heheheheh issue sio same storyline,huwa wanaangalia viewers rating zikiwa ndogo sana wanapiga chini
  10. Abdmas007

    The Actor Robin Williams found dead at his Northern Califonia home

    Do not argue with a fool, he will downgrade your thinking capacity, and beats you down with experience
  11. Abdmas007

    The Actor Robin Williams found dead at his Northern Califonia home

    Heheheheh you have made my day
  12. Abdmas007

    The Actor Robin Williams found dead at his Northern Califonia home

    Acha tuu dada angu yani kanikera kweli watu tunasikitika kumpoteza Actor wetu kipenzi cha wengi,alafu yeye analeta utoto wake humu.
  13. Abdmas007

    The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

    Gang Related ni bonge moja la series nimependa sana storyline yake na nimependa zaidi episode ya 12 ilipoishia sikuwahi waza kama mayor naye ni mole wa Javier Acosta, ila ndo ukweli wa mambo ulivyo drug lords huwa wana strong network siku zote, hapa na hamu tu ya kuona season finale itakavyoishia
  14. Abdmas007

    The Actor Robin Williams found dead at his Northern Califonia home

    Wewe ndo mkurupukaji mimi mfuatiliaji mzuri wa movie na namjua Robin Williams kuliko unavyofikiria alizaliwa mwaka 1951 na amefariki mwaka 2014 hata kama hesabu ulipata F, huwezi shindwa kokotoa hesabu ya darasa la pili, JF ni kwa watu makini na sio waropokaji kama wewe
Back
Top Bottom