Xiaomi Redmi 1s & 2

Xiaomi Redmi 1s & 2

wakuu Nairobi zipo nyingi angalia olx Nairobi.pia hebu jaribuni Ku Google simu inaitwa g5 nzr sana ni likuta zipo Lilongwe Kwa kwacha 40000 hapo zidisha Mara 37 una pata tsh yetu.

1441904873626.jpg
Zipo tena gali zaidi ya bei niliyotaja
 
Mkuu ukiweza jaribu kuchek na Mi Tv utupe na prices pia mi nazihitaji sana
 
Habari,

Nina mpango wa kuagiza simu tajwa Xiaomi/Mi Redmi 1s na baadaye Redmi 2 kwa ajili ya kuuza hapa bongo bamoja na simu nyingine kama Huawei Honor Series, ZTE na ASUS hapo baadaye kwa reasonable price.

Anayehitaji, au mwenye ushauri tushirikishane.

Shukrani.
Naomba unitafute kwa namba hii 0712830746 nitakuelekeza na kukushauro juu ya xiami phone na simu zote tajwa hapo juu,Nina direct link yakupata bidhaa,zote tajwa halo juu.au tembelea WWW.afrmall.com hapa una sign up alafu uliza chochote bidhaa yoyote utapata kwa bei ya jumla.nareja reja pia.unaweza pataa account ya kuuzaa bidhaa zako pia mtandaoni.
 
Back
Top Bottom