Na sasa anacheza reality series ya usafirishaji wa nafaka aina ya "sembe marufuku" huko China baada ya kufanya vizuri kwenye she got a gwan ya Ngwair,Nataka kulewa ya Diamond na kuwa na jina zuri la lady Boss!!
Zitto siasa unazozifanya sasa ni za kipuuzi,kila mwanasiasa mwenye jina akitumia ukabila itakuwaje??!! Soon utaanza kuhubiri udini halafu kuna mijitu inakuita msomi na una akili!!! Hakika inazidi kutamalaki kupitia matendo yako na wenzio kuwa wewe ni mzandiki!!!
Ndio new jf hii,sipati picha 2015 kampeni zikianza itakuwaje,wengine itabidi tuhamie MMU kuepuka kufungiwa hovyo kwa kusema ukweli usiopendwa na wenye funguo na wadau wao!!
January na wanasiasa wengine wenye uroho na madaraka na ukwasi waache kuwafanya Watanzania wote ni wapumbavu kwa kuweka kakipande hariri na pia ipo wazi kabisa kuwa wapambe wa January wanaotumika na kusherehesha vikao hivyo vya kuvizia madaraka ndio huanza kuongea kwa kumwombea mtu wao uungwaji...
Hii nchi imekuwa kama ya kimafia na uhuni umekubuhu na huenda ni kweli watawala wanafanya hii biashara kama Kapuya alivyonukuliwa kuwa watoto wao wanauza sembe la Pakistan na Brazil na hakuna wa kuwakamata kwani wao ndio wenye nchi hii!!
Kikwete na utawala wako wakin!a Said Mwema inabidi mbebe...
Sasa wewe wa godauni sijui yard ndio unaua band!!! Kuna sheria kule Zenji kuwa wanaume wavaa hereni na cheni wakamatwe- Le mutuz na vidani vyake aishie kupigia picha huku huku bara maana zenji watambonya kizenji kwa kuvunja sheria!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.