Atakae tembea nusu uchi Zanzibar kukiona

bmalale

Senior Member
Mar 30, 2011
467
0
Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo imewataka wananchi kuwafikisha katika vituo vya polisi watu wanaovaa mavazi ya nguo za nusu uchi na zinazobana.

Akijibu suala katika kikao cha baraza la wawakilishi waziri Said Ali Mbarouk amesema sheria namba moja ya mwaka 1973 inatoa fursa kwa wananchi kusimamia utekelezaji wake kwa kuwafikisha vituo vya polisi watu wanavaa nguo zinazokwenda na sheria hiyo…

Aidha Mbarouk amesema sheria hiyo pia inatoa fursa kwa wananchi kuwakamata wanaume wanaovaa mapambo ya kike ikiwemo herini, kidani na kusuka nywele kuwafikisha vituo vya polisi.

DarNewsLine
 
Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
17,304
2,000
Waache unafki hao. Wanaojiuza Bwawani na pale Makaburini karibu na Gymkhana watavaa mabaibui?
 
Songoro

JF-Expert Member
May 27, 2009
4,124
0
Nategemea siku Lukuvi,Mkapa,Lowassa wakiingia znz wakamatwe kwa kuvaa Vidani (Cheni), Miraji Kikwete kwa kuvaa Hereni, Kikwete kwa Kuvaa Bangili Mkono wa Kulia, Vick Kamata kwa kuvaa Robo tatu Uchi!
 
Songoro

JF-Expert Member
May 27, 2009
4,124
0
Waache unafki hao. Wanaojiuza Bwawani na pale Makaburini karibu na Gymkhana watavaa mabaibui?

Wakamate uwapeleke then Wakiwaachia ndio Unafiki. Mbona huku kwetu Mainland tuna sheria ya kuzuia Ushoga lakini mpaka sasa wameanzisha mpaka Website ya kujitangaza na wala hatujiit wanafiki. Wizara imewataka wananchi kuwakamata, Sasa hata wewe unaweza kwenda hapo Bwawani kuwakamata then wakikuzuia ndo uwaite wanafiki.
 
kaka km

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
1,336
2,000
Nimeipenda,kuvaa nusu uchi ni ujinga alaf unakuwa unawalingishia watu,wazanzibari hawataki hyo,wanataka mtu atembee uchi full sio nusu uchi,safi sana,hyo sheria nimeipenda,inawabana wanaotembea nusu uch ila haiwahusu wanaotembea uchi full.
 
BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
32,136
2,000
Nguo za nusu uchi zikoje?

Kalio moja nje moja limefunikwa

Au makalio yanafunikwa nusu au

Naombeni ufafanuzi tu.....
 
Abdillahjr

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
694
0
Nategemea siku Lukuvi,Mkapa,Lowassa wakiingia znz wakamatwe kwa kuvaa Vidani (Cheni), Miraji Kikwete kwa kuvaa Hereni, Kikwete kwa Kuvaa Bangili Mkono wa Kulia, Vick Kamata kwa kuvaa Robo tatu Uchi!

Mkuu una utani wa ukweli na ngumi!!! Usijeambiwa na wewe umebaka na kulawiti vitoto ukishirikiana na ndugu zako ili uhamie Segerea!!!
 
Kibuja

JF-Expert Member
Aug 12, 2009
510
225
Nimeipenda,kuvaa nusu uchi ni ujinga alaf unakuwa unawalingishia watu,wazanzibari hawataki hyo,wanataka mtu atembee uchi full sio nusu uchi,safi sana,hyo sheria nimeipenda,inawabana wanaotembea nusu uch ila haiwahusu wanaotembea uchi full.
Ha ha haa af least leo nimepata mtu wa kunichekesha! Lol
 
Mr.Mak

JF-Expert Member
Feb 23, 2011
2,841
2,000
Nguo za nusu uchi zikoje?

Kalio moja nje moja limefunikwa

Au makalio yanafunikwa nusu au

Naombeni ufafanuzi tu.....

Badiri Tabia. Kama nguo za nusu uchi huzijui utakuwa sio kiumbe mwanadam mwenye akili timam. Otherwise unaelewa.
Hongereni wazanzibar kwa msimamo wa kujitambua.changamoto mnayo kwa watalii stone town
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom