Usahihi: Mazungumzo ya January Makamba alipokutana na viongozi wa Dini - Mwanza

the horse

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
605
500
https://soundcloud.com/jmakamba/mazungumzo-katika-chakula-cha

Kumekuwepo na upotoshaji na mjadala unaomhusu january makamba juu ya event aliyoifanya hivi karibuni jijini Mwanza na kwamba mijadala hiyo inahusisha tukio hilo na mbio za ugombea Urais.

Kutokana na kuzagaa kwa taarifa hizo Mheshimiwa January Makamba-Mbunge wa Jimbo la Bumbuli na Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ameweka sauti halisi ya mazungumzo hayo katika mtandao ambapo kila mmoja ataweza kusikia kile alichokisema na kukipima kama kwa namna yeyote ile kinaweza kuhusishwa na mijadala inayoendelea ya Uraisi.

ifuatayo ni link ya hotuba hiyo;
 

Abdillahjr

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
694
0
January na wanasiasa wengine wenye uroho na madaraka na ukwasi waache kuwafanya Watanzania wote ni wapumbavu kwa kuweka kakipande hariri na pia ipo wazi kabisa kuwa wapambe wa January wanaotumika na kusherehesha vikao hivyo vya kuvizia madaraka ndio huanza kuongea kwa kumwombea mtu wao uungwaji na muhusika haswa akiongea huwa kama anamalizia tu kwa kuwashukuru kumkaribisha na blah blah kwani hataki kuzungumza direct mwenyewe kwa kujua muda bado na kanuni haziruhusu!

Kutundika kakipande cha hotuba hariri ni upumbavu tu!!
 

damcon

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
214
195
mwambie January yeye kuwa rais ni ndoto za mchana,hana mvuto huo then hajafanya lolote kui convince society imuone kuwa anafaa you cant compare michango yake na ya mtu kama magufuli,mwakiembe,filikunjombe,lowasa,slaa,mnyika etc,alipofikia kafika kwa kubebwa na ukatibu mkuu wa baba yake atulie then atumikie taifa kwa umakini in next ten years tutamrecognaze kuwa anatufaa au ni mzigo,watanzania hatutaki kuingia mkenge kama tulivyoingia 2005,in short hatutaki pia marais mizigo kama mzigo mzito tuliokuwa nao sasa.plz wewe,zitto na ngeleja punguzeni ndoto za mchana
 

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
0
Hizo dola 100 alizowahonga wachungaji 3 wagawane zimetajwa ? HATUDANGANYIKI KIPINDI HIKI. Magogoni kuna biashara gani ?
 

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
14,148
2,000
Hii Nchi ishakuwa ya Kufikirika sasa,yaani kweli Mtu kama January Makamba nae ana ndoto za kuwa Rais wa Nchi hii?Ooh God forbid. Shame on him and those who support him.
 

afwe

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
4,085
2,000
Hivi unadhani string hii inamuondoa kwenye kashfa ya kuwa mroho wa madaraka au ndio inampaka zaidi?
 

sexologist

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
2,288
1,195
Nimeweka comment yangu hapa ila kwa sasa siioni..
Ni utaratibu gani tena umeanza jf?!
Pia kuna za wengine nilizisoma awali sizioni kwa sasa. Kama tunavunja rules basi mods mtuambie tujirekebishe!
Cc: invisible, paw
 

Stefano Mtangoo

Verified Member
Oct 25, 2012
4,363
2,000
CHAMVIGA uli verify vipi kuwa huyo mtu alikuwa kweli askofu/mchungaji?
What if ulikuwa ni wewe kwa ID nyingine? Sisemi ndivyo ilivyo ila nataka uone
Logic yako inapokupeleka! Si kila mtu akisema ndiyo inakuwa!
 
Last edited by a moderator:

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,039
2,000
Hivi january ni kama nani hata kufanya ziara nchi nzima ? Anataka kuweka Minara ya simu kwenye MAPAA YA MAKANISA ? HIVI HAO WACHUNGAJI WANAOWEZA KUITWA NA JANUARY NA WAKAKUBALI WANA AKILI KWELI ?
 

Abdillahjr

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
694
0
Nimeweka comment yangu hapa ila kwa sasa siioni..
Ni utaratibu gani tena umeanza jf?!
Pia kuna za wengine nilizisoma awali sizioni kwa sasa. Kama tunavunja rules basi mods mtuambie tujirekebishe!
Cc: invisible, paw

Ndio new jf hii,sipati picha 2015 kampeni zikianza itakuwaje,wengine itabidi tuhamie MMU kuepuka kufungiwa hovyo kwa kusema ukweli usiopendwa na wenye funguo na wadau wao!!
 

Kiherehere

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,808
2,000
mwambie January yeye kuwa rais ni ndoto za mchana,hana mvuto huo then hajafanya lolote kui convince society imuone kuwa anafaa you cant compare michango yake na ya mtu kama magufuli,mwakiembe,filikunjombe,lowasa,slaa,mnyika etc,alipofikia kafika kwa kubebwa na ukatibu mkuu wa baba yake atulie then atumikie taifa kwa umakini in next ten years tutamrecognaze kuwa anatufaa au ni mzigo,watanzania hatutaki kuingia mkenge kama tulivyoingia 2005,in short hatutaki pia marais mizigo kama mzigo mzito tuliokuwa nao sasa.plz wewe,zitto na ngeleja punguzeni ndoto za mchana

Babu labda ni mzigo unaobebeka??
 

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
0
Mtu mjinga kama huyu ambaye hajawahi kupigiwa kura popote pale duniani au mbinguni achilia mbali kuzimu naye anataka kuwa rais wa Tanganyika?

Ama kweli tumelogwa,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom