Recent content by Abdchota

  1. Abdchota

    JamiiForums Tanzania SAUT main campus inaongoza kwa kuwa na Wanafunzi wasio na sifa

    Hata tuliopo kazini msala huu utawakuta hakuna wakupona ndugu kama watatumia vigezo hivyo nchi inaenda kijeshi so tujipange kwa yote
  2. Abdchota

    JamiiForums Tanzania Come back Kikwete: Uliwezaje kufanya yote haya?

    Still I trust magufuli something good is going to happen he is blessed by ALLAH he is the kind of president we were waiting for I think ALLAH brought him to us
  3. Abdchota

    JamiiForums Tanzania Walimu wa arts mmekubali matokeo kirahisi

    Ndalichako ndio alisema walimu wa arts hawaajiliwi au hilo tamko lako
  4. Abdchota

    JamiiForums Tanzania Kuna bonge La ubishi hapa wanajiografia wate

    Ukitaka ubaini kuwa tofauti cku tukiwa tunasubiri mwaka mpya kaa karibu na luninga angalia CNN utagundua wapi wanawahi kusherekea mwaka
  5. Abdchota

    JamiiForums Tanzania Kama hukusoma shule hizi kongwe, wewe ni mmoja wa vilaza mliopo hai

    Mbona mi shule yangu ilianzishwa 2005 matokeo a level ikawa ya 4 kitaifa kwaio hao nao ni vilaza
  6. Abdchota

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kwa mwenye taarifa kamili suala la GPA 3.8 kwenye ajira

    Nani kasema mnaajiriwa kwa GPA na nyie mbona hakuna tangazo ilo bana nyie subilini wataongea wao acheni kuzusha vitu
  7. Abdchota

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Mwenyezi Mungu atanilipia gharama na muda nilioupoteza.

    Dah!!! So sad muamini MUNGU atakusaidi kwa kila unalolikazania
  8. Abdchota

    JamiiForums Tanzania AJIRA ZILIZOTOKA

    Nalifahamu hilo mkuu ndio maana nasema hongera waliosoma sayansi na hesabu
  9. Abdchota

    JamiiForums Tanzania AJIRA ZILIZOTOKA

    Hongereni mliosoma sayansi na hesabu watu wa sanaa MUNGU atufungulie mlango wa kutokea maana tulikotegemea kumefungwa.
  10. Abdchota

    JamiiForums Tanzania Ally Kiba ni Messi, Diamond Ronaldo

    Umejuaje??? Messie babalao kama kiba
  11. Abdchota

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako, ubora wa elimu anzia UDOM

    Sipendi sana kudharau chuo wakati mm mwenyew sina uwezo wa kujenga chuo changu kilicho bora much respect kwa mliotuletea vyuo tz vyuo vyote vizuri ispokuwa matzo yaliyopo ktk vyuo hivi ndio changamoto kwa serikali
  12. Abdchota

    JamiiForums Tanzania Tujadili tamko la Waziri wa Elimu kuhusu masuala ya udahili

    Issue ni aliyefeli form 4 alafu hajapita hata form6 anatakiwa aresit mtihani wa form 4 kisha apate sifa za kusoma ngazi ya certificate then form six hadi chuo na sio form 4 failure then foundation course hadi chuo hayo yatakuwa masihara
  13. Abdchota

    JamiiForums Tanzania Tamko la waziri wa elimu sifa za kujiunga na chuo kikuu

    Mm nmemuelewa yule wa wizara ya elimu anasema qualification za mwaka husika hazitahusishwa katika hili ila alichokiongelea kuwa wengi wamefeli form 4 alafu wakaenda moja kwa moja foundation courses then chuo au kafika form six kafeli hajapata sifa za wakati husika huyo ndio mwenye matatzo
  14. Abdchota

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi Serikalini

    Mmmmh!!! Ila Sasa hata kama kaulimbiu ya mheshimiwa ya hapa kazi tu wengine Sasa wanaitafsiri tofauti maana saizi mheshimiwa anawajibika kivingine lakini wawakilishi wanawafanya watu wamchukulie mkuu vibaya, tunamuunga mkono mheshimiwa kwa kuinyoosha nchi lakini hii kauli ya makonda yakwake...
Back
Top Bottom