Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 12,726
- 19,868
Yeah hayo ndiyo mambo ya kuzingatiwa sasa ila huu ushuzi wa GPA ndio haufai kabisa maana sisi tulishangaa best student alitajwa ni demu wa mkuu wa department huku sisi ndio tunamsolviaga maswali yaani nilipanic siku hiyo mpaka joho nikaliona limekuwa zitoMkuu huko sahihi. Lakini form six kufaulu sana inategemea unasoma comb gani , eg hgl, pcm etc