Prof. Ndalichako, ubora wa elimu anzia UDOM

Prof. Ndalichako, ubora wa elimu anzia UDOM

Nakubaliana na wewe vyuo viwe na hadhi ya kutoa elimu ya University status. Prof., anzia na UDOM. Surely this univ /colleges is / are below standard.
Mkuu vyuo n ving ulikuwa wap kuhama kama unahs elimu yake cyo bora
 
Mimi nikiwa A-Level nilifundishwa na walimu watatu waliosoma UDOM.. nilifanya vizuri sana katika masomo yaliyofundishwa na hao walimu. Ndipo nilipoacha kukidharau chuo hichi hadi nikaamua kuja kusoma degree yangu hapa. Hakika ninafurahi kwakuwa napata elimu iliyo bora kulingana na program ninayoisoma. Nipo mwaka wa pili lakini hata nikiajiriwa leo hii nina uhakika boss atanipandisha cheo. Almost najua kila kitu katika hii field. Ahsante UDOM. Hata wakudharau kiasi gani lakini nitazidi kukupenda na hata masters yangu nitasoma hapahapa kwasababu umenifunza mengi hata yaliyo nje ya masomo ya darasani.
 
Sipendi sana kudharau chuo wakati mm mwenyew sina uwezo wa kujenga chuo changu kilicho bora much respect kwa mliotuletea vyuo tz vyuo vyote vizuri ispokuwa matzo yaliyopo ktk vyuo hivi ndio changamoto kwa serikali
 
Usibishane Na fanatic,Jina Tayari Lina sadifu yeye Ni Nani

come on man, we unajaji fanatic name, mbona umeacha Tz mwanzo ....yes am tzfanatic...kwa sababu ndipo nilipozaliwa ,nilipokulia na ninapoishi ,mzee why nisiwe Fanatic....?
 
kwa grammatical errors km hizo unaweza vp kuquestion ubora wa wenzio? maneno uloandka kiswahili umekosea, kingereza umekosea! ukipewa kuandika ht report ya pg 40 utaandika utumbo kias gn? alaf unadai unafanya kazi!
Muacheni huyo jamaa ni limbukeni hajui chochote mkuu.
 
Back
Top Bottom