DAKIKA & MB KIBAO, BUREEE! Ongeza salio kuanzia Sh1000 au zaidi leo UPATE +DK3 Voda-Voda na MB50 BURE kwa saa24. Vigezo na Masharti kuzingatiwa
Sasa izo dk na Mb kibao zipo wapi au kama si kutudanganya
Ukiwa kama mdau wa michezo, nimejaribu kuangalia kikosi kilichotajwa, hususani kwa upande wa washambuliaji nimeshindwa kuelewa kwann watu walalamika swala la kuachwa Ajibu
Katika list apo chini, naona kuna wigo wa maprofessional players tu sasa sijajua tumtoe nani tumweke Ajibu
Ushauri wako tu
Pato la Taifa kwa kila mtu huchukuliwa kuwa ni kiashiria cha kiwango cha maisha ya nchi inayotolewa, kwa kuwa inaonyesha utajiri wastani wa kila mtu anayeishi nchini.
Kwa hiyo ni njia ya kawaida inayotumiwa kulinganisha jinsi nchi maskini au tajiri zinahusiana.
Tulipofika karibu na 2018...
Wadau naomba msaada na ushauri kwenu
Nataka kufungua kampuni itakao fanya mambo yafuatayo
1- Wirering za majumbani, na kwenye maghorofa
2- Installation ya umeme kwenye mitambo
Nataka kujua taratibu za kufungua kampuni inakuwaje haswa ukijua Kampuni za umeme zina process tofauti kidogo (Najua...
2019 NDIO ISHAWADIA..
1. Kununua Mashine za kukoroga zege na
kukodisha.
2. Kununua Mashine za kukata vyuma na
kuzikodisha.
3. Kutengeneza na kuuza tofali
4. Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali.
5. Kuanzisha kituo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.