Kati ya wanaume mabachela na walio-oa ni wapi wanakula vizuri zaidi.

Kati ya wanaume mabachela na walio-oa ni wapi wanakula vizuri zaidi.

Hii kitu huwa najiulizaga Sana, kwa jinsi ninavyojipenda kwenye upande wa msosi, hv nitakae muoa anaweza kunifanya nifurahie chakula chake?[emoji848], kiukweli kabisa Mimi nikikaa jikon...ni balaa tupu, sijui hichi kipaji nilipata wapi[emoji4] na huwez amini asilimia 80% ya vyakula nilivyokula vilivyopikwa na mwanamke hawafikii viwango vyangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na vile sipendi kula matap tap, sijui itakuwaje...hata nikila barabarani huwa nakula sehemu ambapo najua vyakula vyao ni classic. Yani mwanamke nitakae muoa...ajiandae kwa kweli [emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombeni kujua kutokana na experience yenu mlioa ni kweli ukioa utakuwa unakula vizuri zaidi ya ulivyokua unakula kabla ya kuoa.

Jibu ni ndio au hapana..

Uzi tayari.
Unamaanisha kula ip mkuu?cz kiswahili kimeingiwa na Alshabaaabu
 
Hili ni swali la kitoto.maana kimsingi lazima ulishapitia kwenye familia ya baba na mama,au walezi wako na uliwahi kuona mlezi wako akipikiwa namna gani na mkewe,fananisha jinsi ulivyo bachela,isipokua unatafuta maneno ya kukupa nguvu ya kukaa peke yako.nakushauli oa uheshimike,usikae kihuni huni
Naombeni kujua kutokana na experience yenu mlioa ni kweli ukioa utakuwa unakula vizuri zaidi ya ulivyokua unakula kabla ya kuoa.

Jibu ni ndio au hapana..

Uzi tayari.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Naombeni kujua kutokana na experience yenu mlioa ni kweli ukioa utakuwa unakula vizuri zaidi ya ulivyokua unakula kabla ya kuoa.

Jibu ni ndio au hapana..

Uzi tayari.

Ndiyo, nakula vizuri baada ya kuoa....unanionea wivu au?
 
Back
Top Bottom