Recent content by ABAANADYA

  1. ABAANADYA

    JamiiForums Tanzania AZAKI Tanzania: Wasichana wanaopata ujauzito shuleni si wahalifu wanaostahili kukatishwa ndoto zao

    Subirini miaka kumi tyu maana isije kuleta shida kila rais na sheria zake nyie kuweni wapole. Msije kupingana na rais
  2. ABAANADYA

    JamiiForums Tanzania Hela ya Esrow Inapofanya kazi..

    Waalifu wa pembe za ndovu hakuna dhamana hawa mafisadi warudijshe khaa...!
  3. ABAANADYA

    JamiiForums Tanzania Kwa watumishi wa serikali: Unadhani Serikali inajali maisha yako?

    Hakuna cha kishauri kwani tumeamua wenyewe kufanya kwazi hata iwe mshahara laki moja tutafanya Dunia inaongozwa kibepari
  4. ABAANADYA

    JamiiForums Tanzania Huyu ndo anaua raia wetu Kibiti, Polisi tumia Teknologia kumkamata

    Tuiombeee Tanzania ya amani polisi waache wafanywe kaz dhidi ya kikudi cha kijambazi Mwenyezimungu tujalie
  5. ABAANADYA

    JamiiForums Tanzania Wauaji wa Mkuranga, Kibiti na Rufiji, kwanini hawaui wanawake?

    Hawa sio magaidi n majambazi tu pia serikali inafanya kazi usiku na mchana we kaa kimya acha kupost upotoshaji na upuuzi hapa
  6. ABAANADYA

    JamiiForums Tanzania KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    Serikali haijafeli km hujui kaa kimya tu SERIKALI inafanya kazi usiku na mchana
  7. ABAANADYA

    JamiiForums Tanzania KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    Halafu we mtoa post kwani unadhan jambo hili n kijiwe cha kahawa? Hivi unadhani serikali inachekelea jambo hili? Serikali inafanya kazi na litaisha tuu hii n inchi makini raisi makini jumla viongozi makini
  8. ABAANADYA

    JamiiForums Tanzania Msiwatishe watumishi wa mjini kuhamia vijijini

    Msiwatishe watumishi wa mjini kuhamia vijijini mkiwahamisha kwanza mtambue. 1. Hakuna kijiji cha adhabu wala kituo cha kazi cha adhabu. 2. Mwenge wenu atapokea na kukesha nani? 3. Usafi wenu wa mwisho wa mwezi atafanya nani? 4. Nani mwenye haki ya kubaki mjini/nani mwenye mjini. 5. Mnazorotesha...
  9. ABAANADYA

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kibarua chochote cha halali

    Acheni upuuzi bhana mwenzetu yupo na sheeda
  10. ABAANADYA

    JamiiForums Tanzania Gwajima yuko very wrong kwa hili! Extremely wrong!

    Suluhisho la tatizo hili la kirasilimali duniani n kuepukana na DEMOKRASIA kwani hii n mkono wa CAPITALISM bingwa nyonyaji wa ulimwengu wengi waliopiga hatua waliikataa hii demokrasia Jaman fuatilieni kitu kinaitwa KHILAFAH huu ndo mfumo bora kutawala na ndio unakuja kuyawala na watu kupata...
  11. ABAANADYA

    JamiiForums Tanzania Madini na umeme

    #MADINI Na UMEME nitafupisha nukta chache sana kuhusu umeme ktk KHILAFAH 1. Aina zote za nguvu za moto zenye kutumiwa na jamii au mambo yanayo husika na nguvu hizo ni marufuku kubinafsishiwa mtu binafsi au shirika ikiwemo umeme gesi visima vya mafuta maporomoko ya maji mabwawa au...
  12. ABAANADYA

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Kuandama kwa mwezi Mtukufu wa Ramadhani

    RADHAN KAREEM
  13. ABAANADYA

    JamiiForums Tanzania AJENDA IPI ILIFIKIA MWISHO?

    ESCROW, LUGUMI, EPA, NIDA, RICHMOND, KIWIRA, MEREMETA, TANGOLD, KAGODA, BUZWAGI, MABEHEWA, MAKOKTENA YA MCHANGA UUZWAJI NYUMBA ZA SERIKALI, GESI YA MTWARA., DEEP GREEN, MFUKO WA COMMODITY IMPORT SUPPORT, UNUNUZI WA MAJENGO PACHA YA B.O.T LOLIONDO GATE UJANGILI, CHAVDA NA MASHAMBA...
  14. ABAANADYA

    JamiiForums Tanzania Mbunifu wa Nembo ya Taifa anaishi maisha duni sana

    Haisikitishi chochote kwani alivyochora aliachwa tu bure hakulipwa chochote aaaah achaneni nae tu alikula bata
Back
Top Bottom