Ally A
Member
- May 30, 2017
- 16
- 6
Habari jaman naitwa Ally naishi dar es salaam kiukwel hali ni ngumu sana sasa hivi tafadhali naomba msaada wenu nimehangaika sana kutafuta kazi lkn cjapata mafanikio yoyote na nimemaliza kidato cha nne.
Na nina uzoefu na biashara na pia niliwahi kuwa supervisor kwa mwaka mmoja katika bar moja kubwa hapa mjini inatwa LACHAZ ipo sinza mori.
Naombeni msaada wenu kazi yoyote ile ambayo itaweza kunipatia chchte cha kunisaidia mimi na kuweza kuisaidia familia yangu