Niwaambie sasa, niliwahi fanya research ndogo kuhusu gari aina ya Toyota Progress Engine CC 2400, nilichofanya baada ya kukabidhiwa tu na Muuzaji nikaipiga full Tank lita around 60, nikatembea nayo muda wa siku tatu then nikarud nayo petrol station nikajaza tena full tank nikapiga hesabu lita...
Habari za majukumu wadau.
Niwaulize, Ni ipi njia rahisi ya kutuma fedha kutoka South Africa kuja Tanzania? Imenilazimu kuuliza hivi kwa sababu kulingana na shughuli nizifanyazo inanilazimu kupokea kiasi fulani cha fedha mara kwa mara kutoka kwa wadau wenzangu wanaoishi South Africa...
Habari za majukumu wadau. Niwaulize, Ni ipi njia rahisi ya kutuma fedha kutoka South Africa kuja Tanzania? Imenilazimu kuuliza hivi kwa sababu kulingana na shughuli nizifanyazo inanilazimu kupokea kiasi fulani cha fedha mara kwa mara kutoka kwa wadau wenzangu wanaoishi South Africa. Nimejaribu...
Dunia ni sehemu ya Mitihani, kila mtu ana Mitihani yake, ukifaulu mitihani iliyopo duniani malipo yake makubwa, mazuri na ya milele Siku ya mwisho, ukifeli adhabu ni kubwa pia.....Tujitahidi kufaulu mitihani yeyote inayotufika
Nature ya kazi yangu napata Ration Allowance kila katikati ya Mwezi. Mwezi uliopita nilikopa Salary Advance kiasi cha sh. 100,000 ajabu ipoingia Allowence walikata mkopo wao. Sasa nachojiuliza nilikopa salary advance au Allowence advance?
Ina maana kumbe ile riba ya 6% ni kwa wiki 2, Hii ina...
Hakutolewa mlango wa nyuma, Gereza kwa kawaida lina mlango mmoja tu. Alitolewa kupitia njia nyingine inayokatisha kambini na wala sio inayoelekea barabara kuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.