Feliciansanyenge
Member
- Sep 8, 2013
- 23
- 11
Wadau kila mara napitia page ya enhance auto,,Kwakua nazipenda crown, najaribu kuangalia ulaji wake wa mafuta naona wameendika 12km/l,,Pamoja na web page zingine,,
Je ni kweli kwetu hapa tanzania ni hivyo? Na kama ni hivyo mbona naona crown nyingi sana zinauzwa bado ili hali zimeingizwa nchini siku chache, Nina imani wengi wanaziuza sababu ya unywaji uliokubhu wa mafuta.
Wenye experience na ulaji wa crown ukiacha wa kwenye notes za mtandaoni tushare jamani,,,
Tusije kukurupuka halafu nasisi baada ya muda turudi mitandaoni kuuza!