Recent content by A de La K

  1. A de La K

    JamiiForums Tanzania Utaratibu unaotumika kuanzisha huduma ya maabara na zahanati binafsi

    List inajitosheleza mkuu...safi! Ila haitaji Electronic microscope(ikiwa unamaanisha "electron microscope" ambazo Tanzania nzima sidhani kama zipo hata 5...zaidi zinatumika kwenye research centres kubwa tu), ila Light microscope ya kawaida tu ingetosha.
  2. A de La K

    JamiiForums Tanzania Mafua makali na kusikia baridi

    Nenda Pharmacy kanunue cetirizine tabs. Itakusaidia mkuu! Kama na koo linakukereketa basi kanunue lozenges za flucor au travisil.
  3. A de La K

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Dovutwa Likokola, Mwanamke kuwa na cheo si kipimo cha Ufanisi wake

    Ni Mhe. DEVOTHA Likokola, sio DOVUTWA Likokola
  4. A de La K

    JamiiForums Tanzania Tuache ushabiki wa vyama, hii katuni imetengenezwa kuwadhalilisha viongozi wa UKAWA

    Mchora katuni kajaribu kusadifu mazingira....wacheza sumo daima huwa ni wanene na wana matumbo, na si watu wenye misuli tuu. Pia, sasa hivi uongozi wa UKAWA unagombewa na watu 2, si kama wakati ule wa CCM ambako walikuwa wengi...so namna nzuri ya kupresent hilo ni kwa kutumia wacheza mchezo wa...
  5. A de La K

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Sita 2015 yametangazwa

    Chemistry ana ngapi mkuu? Na anataka kusoma course gani? Pia hiyo na A/Mathematics (Advanced Mathematics) au B/Mathematics(Basic Applied Mathematics ?
  6. A de La K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Kiasi, ila si sana. Mimi natumia HDMI cable, ila sioni tofauti sana na mtu anayetumia component cables...na nadhani sababu channels zao nyingi ni SD, na si HD. Za HD utaziona vizuri zaidi, ila SD zitakuwa kawaida tu
  7. A de La K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Naona tangazo hapa, Azam wameongeza bei za vifurushi kuanzia 1 Julai 2015. Mbona wanazidi kutuumiza?!
  8. A de La K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Historia ya Mombasa na makabila yake

    Jahazi la Ziwa miye nimefurahi sana...umenifunulia mengi hasa!
  9. A de La K

    JamiiForums Tanzania Rais wa chuo cha KCMC asimamishwa masomo mwaka mzima akipigania maslahi ya wanafunzi

    Hakuwaandikia barua wanafunzi wa mwaka wa kwanza kuwataka walipe ada ya zamani...yeye hana mandate hiyo. Alichofanya ni kucite barua ya TCU kwa chuo inayowaagiza wasipandishe ada hadi system ya kukadiria ada itapokamilika....baas
  10. A de La K

    JamiiForums Tanzania Rais wa chuo cha KCMC asimamishwa masomo mwaka mzima akipigania maslahi ya wanafunzi

    Hakuna siasa aliyoleta mkuu. Tatizo la Ada KCMC na la muda mrefu, na kilichotokea ni kuwa continuing students ada ilipandishwa kwanza, tena kiholela, ikabidi serikali ya wanafunzi itafute solution kupitia TCU ambayo ndiyo inayopanga na kuruhusu kiwango cha ada watozwayo wanafunzi. Baada ya...
  11. A de La K

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

    Kwetu wanaweza wakawepo, ila si wengi kama unavyoiput. Na zaidi si kitu kilichokuwa documented hivyo kufahamu hasa idadi si rahisi. Ila based on cases nilizowahi kuziona clinic naweza kusema mi chache out of watu wote waliokuja kupima. Sasa hao wa jamiiForums unaowasema mkuu, je, ni documented...
  12. A de La K

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

    Ninachofahamu kutokana na theory ya Microbiology na uzoefu kidogo ni kuwa huo uwezekano upo, lakini ni mdogo sana. Kuna takriban asilimia 5 ya watu ambao seli zao nyeupe zinakosa receptors muhimu kwa ajili ya virusi kuingia ndani ya miili yao, hivyo hata wakikitana na mtu mwenye VVU, kwao kupata...
  13. A de La K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Post yao kwenye facebook hiyo.
  14. A de La K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Mimi niko Moshi pia na sijaziona hizo channels zilizoongezwa. Kwenye facebook page yao Azam wanasema mpaka kufikia tarehe 10 itakuwa zimeongezwa kwa kila mtu. Sasa hivi wanafanya majaribio tu!
  15. A de La K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hackers wamefanya kazi yao kwenye webisite ya mikopo (HESLB)

    Wakuu, kuna mwingine aliyeona hili?
Back
Top Bottom