Wazazi muwe mnawapa watoto japo hela za vikaranga vya ku-support hao walimu shuleni bhana, Nyie mmefanyiwa elimu bure mnashindwa kufanya hata hivyo vitu vidogovidogo jamani, Kwani mlilazimishwa kuzaa au mlifuata mikumbo?
Mimi nilijifunza kuwa hata simu kuita ni kwa sababu nina kaauheni kwenye maisha.
Kuna wakati sikuona simu ya ndugu,rafiki wala mzazi kwa sababu pengine simu zao zilikutana na kinywa changu kilichojaa manung'uniko na kuombaomba.
Nikajifunza kwamba siku zote kwenye maisha yangu nitajitanguliza...
True brother, Ni hesabu fupi tu...
Hayo ndo madhara ya wao kusubiri hadi watongozwe, Wao pis wana watu wao ambao waliwapendaga before ila waliona noma kuwaambia hisia zao kwa sababu ya hii mentali ya kwamba mwanamke hatongozi.
Mwisho wa siku inambidi mwanamke huyo awe na options za katika wale...
Nafikiri ni kwa sababu pengine ni vitu ambavyo vilikaa kwa muda mrefu kwenye akili kwa kuwa necta ilikuwa ni mtihani wa kukuvusha kwenda sehemu nyingine... So zile moments za maandalizi yake pengine hufanya ubongo kuzirejea, Pia ukichunguza sana za mitihani zinakuwaga za ule mtihani wa mwisho...
Inabidi uiombe tu mkuu maana katika watu 100,000 unaweza kukuta mimi pekee yangu ndo nimekata tamaa na hali hiyo huku wengine wakiwa bado wana uvumilivu ndo maana wakakaa kimya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.