Search results

  1. Yofav

    KERO Walimu Sekondari JM Kikwete ya Tunduma waache kulazimisha Wanafunzi kununua karanga

    Wazazi muwe mnawapa watoto japo hela za vikaranga vya ku-support hao walimu shuleni bhana, Nyie mmefanyiwa elimu bure mnashindwa kufanya hata hivyo vitu vidogovidogo jamani, Kwani mlilazimishwa kuzaa au mlifuata mikumbo?
  2. Yofav

    Hii video ameipost msanii Roma. Je, una maoni gani kuihusu?

    inachekesha na kutia hasira kwa pamoja
  3. Yofav

    Hii video ameipost msanii Roma. Je, una maoni gani kuihusu?

    Nimeipost mwenyewe ila kila nikirudi kuitazama hii clip nacheka kama faller 🤣🤣🤣🤣
  4. Yofav

    Hii video ameipost msanii Roma. Je, una maoni gani kuihusu?

    Ila huyu mzee sijui mzee nani maana kanyooka kama rula😁 Mwishoni anakuambia "🗣️ Aaaah Chakula safiii, Chakula safiii Aaah Chakula safi kabisaaa😁"
  5. Yofav

    TANESCO: Umeme tunaozalisha ni mwingi mahitaji ni madogo nchi nzima, hakuna mgawo kwa sasa

    TANESCO kama umeme unazalishwa mwingi ongezeni kipimo cha Unit za Luku tunaponunua basi ili kufidia machungu ya mlivyotukatia katia.
  6. Yofav

    Umejifunza au ulijifunza jambo gani kipindi unapopitia au ulipopitia nyakati ngumu maishani mwako?

    Mimi nilijifunza kuwa hata simu kuita ni kwa sababu nina kaauheni kwenye maisha. Kuna wakati sikuona simu ya ndugu,rafiki wala mzazi kwa sababu pengine simu zao zilikutana na kinywa changu kilichojaa manung'uniko na kuombaomba. Nikajifunza kwamba siku zote kwenye maisha yangu nitajitanguliza...
  7. Yofav

    Mwanaume mpende mke wako

    Haya wanakuja Pm maana ndo lengo lako? Ila sasa bado haibadili chochote inabidi uwe na hela.
  8. Yofav

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Hata kama 30 ndo nimetimiza mwezi huu?
  9. Yofav

    Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Wewe unaona kuna mwanamke anaweza kunenepa kwa hela zake?
  10. Yofav

    Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Unafikiri mwanaume angekuwa na roho mbaya mngenenepeana kama wengi wenu mlivyo?
  11. Yofav

    Ishara kuwa ulishaukwaa ila ngwengwe ikala besela

    Mwishoni ungeandika -TUACHE UZINZI
  12. Yofav

    Wanawake wengi wameolewa ila hawawapendi waume zao kutoka moyoni

    True brother, Ni hesabu fupi tu... Hayo ndo madhara ya wao kusubiri hadi watongozwe, Wao pis wana watu wao ambao waliwapendaga before ila waliona noma kuwaambia hisia zao kwa sababu ya hii mentali ya kwamba mwanamke hatongozi. Mwisho wa siku inambidi mwanamke huyo awe na options za katika wale...
  13. Yofav

    Je, umeshawai Kuota ndoto upo shule unafanya mtihani ilihali shule ulimaliza kitambo?

    Nafikiri ni kwa sababu pengine ni vitu ambavyo vilikaa kwa muda mrefu kwenye akili kwa kuwa necta ilikuwa ni mtihani wa kukuvusha kwenda sehemu nyingine... So zile moments za maandalizi yake pengine hufanya ubongo kuzirejea, Pia ukichunguza sana za mitihani zinakuwaga za ule mtihani wa mwisho...
  14. Yofav

    Tunaiomba serikali utatuzi wa changamoto ya Daraja Lililopo Tabata Mwananchi/Kisiwani

    Inabidi uiombe tu mkuu maana katika watu 100,000 unaweza kukuta mimi pekee yangu ndo nimekata tamaa na hali hiyo huku wengine wakiwa bado wana uvumilivu ndo maana wakakaa kimya.
  15. Yofav

    Kisa cha Chumvi na hatma yangu shuleni

    Umeokoa jahazi mabaharia wakakutosa
  16. Yofav

    Tunaiomba serikali utatuzi wa changamoto ya Daraja Lililopo Tabata Mwananchi/Kisiwani

    Kaka Viongozi wanaokalia viti ndo wanatuua kinomanoma
  17. Yofav

    Tunaiomba serikali utatuzi wa changamoto ya Daraja Lililopo Tabata Mwananchi/Kisiwani

    Hizo ni baadhi ya picha za kabla ya mvua. Baada ya mvua kidogo tuu matokeo ni haya hapa⬇️ Kinachouma na kusikitisha kabisa ni kwamba hili Daraja lipo karibu kabisa na office ya serikali za mitaa lakini viongozi wa hapo hawaoneshi kabisa kuoina issue hiyo kama changamoto licha ya kuwa imekuwa...
  18. Yofav

    Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

    Hapana, haitokani na kampeni ya usawa... Hii kampeni imekuja kuchochea tu ila sababu kubwa ni ukosefu wa maadili na utandawazi.
  19. Yofav

    Ukitaka kujua hii nchi bado iko kwenye lindi la umaskini angalia aina vyakula vinavyopikwa/kuuzwa mitaani!

    Unazungumzia ubora wa chakula na huduma au aina ya vyakula? Haya kama ni aina niambie ni aina gani ya chakula hupati mtaani kwako hadi upike?
  20. Yofav

    TANESCO Hamko serious hata kidogo

    Kaka naomba nije kufungua kiwanda changu kidogo cha usindikaji hapo kwako, Mimi nitakuwa shahidi wako namba moja tukiwa pale Kisutu.
Back
Top Bottom