JamiiForums Tanzania
Mapenzi
Kama ni wewe ndio chanzo cha ilo tatizo basi usichoke kujishusha, inawezekana mwenzio amekwazika na kitendo ulichokifanya lkn ukaribu wako na maneno yako yanaweza mfanya ajue ni kwamba uliteleza. Utaweza pendwa tena. Mapenza ni kama siasa tu, uongo na swaga zako utakubalika tu.