Aliyenitoroka amerudi na mimba

Aliyenitoroka amerudi na mimba

Swali lako linaonyesha bado unampenda. Sasa unataka jibu gani? Msamehe mlee mimba kitanda hakizai hatamu. Ujue hiyo mimba itakuwa ya pepo maana kasema ndo waliomtorosha
 
Ndugu wanajukwaa,

Mnamo mwezi wa 7 tar.1 kama sikosei nilileta uzi hapa kuwa mpenzi/mwanamke niliyekuwa ninaishi nae alisafisha kila kitu na kutoroka wiki moja kabla sijaleta uzi huo.

Kwa kumbukumbu ilikuwa kama tar 22 mwezi wa 6,
Jana majira ya mchana nikiwa kwenye chumba changu cha kupanga alichoniacha nikiwa sina kitanda wala nguo ya kubadilisha nikasikia watu wanapiga hodi.

Baada ya kufungua nikamkuta ni yule aliyekuwa mpenzi wangu yupo na rafiki yake na wakati huo alikuwa analia akiomba nimsamehe kwa alichokifanya.

Nikajaribu kumuuliza vitu alivipeleka wapi amedai eti yeye aliviacha ndani hakuchukua chochote isipokuwa wakati anaondoka hakufunga mlango kwahiyo wezi wanaweza kuwa waliingia baada ya yeye kuondoka.

Lakini sikuishia hapo nikamuuliza nini kilimfanya atoroke akaniambia yeye mwenyewe haelewi kwanini alifanya vile na bado ananipenda anahisi ni pepo tu lilimuingia.

kibaya zaidi nilipoenda kumpima tayari ana mimba ya wiki 3 ila hajaathirika.

je kama ndo wewe ungemfanyaje?

Mimi kwanza ningemla tigo kisha nikamfukuza
 
Hii upole ndio inacost watu......

Yaani case sensitive hivyo.... Bado unapata muda wa kuomba ushauri?

Okay,,, sasa tufanye hivi...

Let's assume mimi ndio nimepatwa na huo mkasa.....

Ungenishauri vipi???

Nadhani jibu utakalonipa ndio appropriate solution.
 
Umeshafanya maamuzi ya kwenda kumpima na kugundua yu salaam. Lengo lako lilikuwa nini? ni kulea mimba au? Je? ungekuta kaathirika ungefanya nini?
 
We jamaa wa ajabu kweli, yaani hujui ufanyaje? Lea hiyo mimba huko!!!:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
 
Swali lako linaonyesha bado unampenda. Sasa unataka jibu gani? Msamehe mlee mimba kitanda hakizai hatamu. Ujue hiyo mimba itakuwa ya pepo maana kasema ndo waliomtorosha

Huyu Jamaa Anajijua mwenyewe huyu.. Sio kwamba anampenda, bali Anaamini Machozi alioliliwa pale yana MB (MegaByet) za kutosha kuliko Vitu alivoibiwa.... Atuambie huyu Mrs Tangu hiyo Jana Yuko wapi?!! Mi nataka nimshauri kitu.
 
Mmmmmh,yaani huko alipotorokea kagongwaaaaaa,kachezewa marinda weeeee,kidume kilivyomwona kidem chenyewe ni kibabaikaji na kashakichezea,hakina la ziada kaamua kukitosa,we unamtaka na hayo mazingira yote unayajua,acha undorobo,piga chini,angalia maisha yako,yeye alitarajia yaani wewe ndio umlelee mwanaye,kakuona wewe ni pimbi kweli aisee
 
Angalia muda alioondoka na muda mliokutana kimwili, na kama moyo wako unajua we ni chanzo cha yeye kuondoka msamehe tu. Binafsi siamini kama alikuwa na sharo usije fanya damu yako ikose upendo wako. Msamehe muanze maisha utaacha wangapi unaweza ruka mkojo ukakanyaga mavi
 
Ndugu wanajukwaa,

Mnamo mwezi wa 7 tar.1 kama sikosei nilileta uzi hapa kuwa mpenzi/mwanamke niliyekuwa ninaishi nae alisafisha kila kitu na kutoroka wiki moja kabla sijaleta uzi huo.

Kwa kumbukumbu ilikuwa kama tar 22 mwezi wa 6,
Jana majira ya mchana nikiwa kwenye chumba changu cha kupanga alichoniacha nikiwa sina kitanda wala nguo ya kubadilisha nikasikia watu wanapiga hodi.

Baada ya kufungua nikamkuta ni yule aliyekuwa mpenzi wangu yupo na rafiki yake na wakati huo alikuwa analia akiomba nimsamehe kwa alichokifanya.

Nikajaribu kumuuliza vitu alivipeleka wapi amedai eti yeye aliviacha ndani hakuchukua chochote isipokuwa wakati anaondoka hakufunga mlango kwahiyo wezi wanaweza kuwa waliingia baada ya yeye kuondoka.

Lakini sikuishia hapo nikamuuliza nini kilimfanya atoroke akaniambia yeye mwenyewe haelewi kwanini alifanya vile na bado ananipenda anahisi ni pepo tu lilimuingia.

kibaya zaidi nilipoenda kumpima tayari ana mimba ya wiki 3 ila hajaathirika.

je kama ndo wewe ungemfanyaje?

Duh kama wewe kipofu wa mapenzi utamsamehe 😂😂😂😂😂
 
keep in touch nae popote atakapokuepo kama ni kwako au kwake, mtoto akishazaliwa jitutumue ukapime DNA kama mtoto ni wa kwako then mtalea mtoto kama mzazi mwenzie,haijalishi kama utakuja kumuoa yeye hapo badae au utaoa mwanamke mwengine
 
Yaanii hilo haliitaj ushaur unatakiwa umkimbze kwanza then ndo uombe ushaur acha ubwege
 
Back
Top Bottom