Recent content by 707

  1. 707

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kumpenda mwanamke huyu, nashindwa kumuacha

    Acha kuwa mtumwa wa mapenzi kaka huyo mwanamke hana malengo nawe yupo ambae anampmda kwa dhati kwa picha iliyopo yupo kwako kwa msaada wa kitu flani ukitaka kuamn hayo subili abahatike kupata kaz utapata majibu
  2. 707

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Polisi na raia Stakishari, Polisi fanyeni haya kuwapata wauaji

    Viongozi wa police naamn mpo humu jf nawaomba myafanyie kazi maoni ya wananchi kiukwel inabd mjipange vya kutosha kurudisha heshma ya jeshi la police iliypotea ktk miaka hii tumechoka kupoteza askar wetu ambao wanapewa mafunzo moshi kutokana aa kodi zetu ifike kpnd mungane muwe kitu 1 ktk hili...
  3. 707

    JamiiForums Tanzania CRDB Mbezi Beach huduma zao ni mbovu mbovu sijapata kuona

    Khaaaaa upo sahh yule dada ni jeur sijapata kuona yan ana amri kwa baadhi ya mabos wake ya juu km ye ndo Branch manager vile
  4. 707

    JamiiForums Tanzania Kuna mrembo nipo nae kwenye daladala naperuzi JF, naweza kumuuliza kitu?

    Hahaaaa awataisha awa mashogaaa
  5. 707

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kutimiza ndoto zangu

    Ndoto gani?
  6. 707

    JamiiForums Tanzania VIDEO : Polisi watumia Nguvu kutuliza maandamno CCM

    Sasa ulitaka watumie nn wacha watumie nguvu maana baadhi ya sisi Raia atuskii eeeeh police wa ccm nasema tupigeni tu
  7. 707

    JamiiForums Tanzania List ya Mastaa Bongo wanaoongoza kwa kupigilia Suti kali, Diamond kinara!

    Mbona umemsahau mzee kingwendu jaman anastail awe namba 2 hapo
  8. 707

    JamiiForums Tanzania GE2015 Uchambuzi niliowahi kuufanya juu ya John Pombe Magufuli - Mtatiro

    Stori yako inafundisha sana toa kitabu utauza sana haswa katika kipindi hiki husika
  9. 707

    JamiiForums Tanzania Leo ndio umeonekana umuhimu wa JamiiForums

    Ishaanza jamani
  10. 707

    JamiiForums Tanzania Dodoma kimenuka, Polisi watanda eneo la mkutano, baadhi ya wananchi wanaandamana

    Shkamoo lowasa weee
  11. 707

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa special thread

    Team lowasa tupo hapa tunaugulia maumivu makali mzee lowasa yupo hapa anacheza na familia yake kama ajui kinachoendelea vile
  12. 707

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa special thread

    Ngoja niamie Team membe taratibuu
  13. 707

    JamiiForums Tanzania Ajali ya gari Bunju, wananchi wachoma Kituo cha Polisi

    Hahaaaa punguza hasira mkuu twende taratibu eti unasema??????
  14. 707

    JamiiForums Tanzania Ajali ya gari Bunju, wananchi wachoma Kituo cha Polisi

    Mbn wananchi wenyewe wadogo hao eeeeh ffu tupa bomu 1 tu abaki mtu
  15. 707

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemchomea mke wangu kazini kuwa anatumia cheti feki

    Hii ni stori bora sana katika nilizowai kusoma maishani mwangu ungekuwa karbu ngekupa sh 5000 ukanywe hata bia
Back
Top Bottom