Recent content by 66KV

  1. 6

    JamiiForums Tanzania Uliwezaje au una-deal vipi na mchumba au mwanamke anayeamini katika dawa za kienyeji kama ulinzi (kinga dhidi ya wachawi)?

    Mzee kama usha wahi kula Hilo kalio lake ndo basi tena
  2. 6

    JamiiForums Tanzania Mwili wangu umekuwa na shoti nyingi sana

    Tafuta mtaalam wa umeme afanye marekebisho y mfumo wa umeme(hasa Earthing) Huenda haifanyi kazi sawasawa
  3. 6

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli hakuna aina za binadamu hapa duniani?

    Mtaalam uko Sawa kabisa Kwa Muktadha wa kidunia Kuna 1. Caucasian face( Mzungu,mwarabu na jamii za wahindi) 2.Mongoloid face( China na macho madogo wote) 3. Negroid( Black mamba ,sisi Africa) Lakini ukija Africa pia tumegawanyika tuko tofauti Kuna 1. Bantu 2.Nilote 3. Cushite 4.Khoisan Ni aina...
  4. 6

    JamiiForums Tanzania HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

    usaili chukulia serious , Siku hizi ukiwa na 20k hukosi hata Suti ya kuchemsha ukikosa sana AZIMA , Bottom line : HATA UWE NA AKILI NYINGI KIASI GANI KAMA HUNA NIDHAMU NI BURE KABISA
  5. 6

    JamiiForums Tanzania Bikra is Overrated

    Una bikra?
  6. 6

    JamiiForums Tanzania Hivi na nyie wake zenu wanawapa unyumba kwa kunung'unika kama huyu wangu?

    Mzee umewahi ona jogoo wa kuku anavohustle kupata huduma? Iko hivo Kila pahala
  7. 6

    JamiiForums Tanzania Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

    Mimi pia Nina akili za kuingia huko Kijiji ndichi ndani kabisa,nikakae kwenye eneo la hela kama mbili hivi ,nasemezana na kuku na mbuzi tu
  8. 6

    JamiiForums Tanzania Sajili mali kwa jina la mama au ndugu yako anaejitambua, hutapatwa na stress yoyote kuhusu mgawanyo wa mali na mwenzako mliekutana mkiwa na meno 32

    Kama una watoto naye ,huu ushauri ni batili,mama hakimbii watoto,ila ndugu yako anaweza kuwakataa
  9. 6

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Yaona Aibu Kuagiza Mahindi Tanzania Yaagiza mahindi Zambia ambayo Tanzania Tuliwauzia Walipokuwa na Njaa

    Labda yapande Ndege yakipita TZ kwenye malori tuyapige 200% tarrifs
  10. 6

    JamiiForums Tanzania Mbunge apata kigugumizi kuongea Kingereza. Aomba po! "I'm sorry"

    It is HIGH time sio HIGHLY time mkuu
  11. 6

    JamiiForums Tanzania Nilipika bangi kama mboga za majani

    Bange inaamsha akili, mtu yeyote ambaye akili yake umeamka hatawaliki kirahisi ,hivyo serikali zinazuia matumizi ya hiki kichangamshi
  12. 6

    JamiiForums Tanzania Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

    Kuwa mtu wa maombi kama unavyomshauri mjumbe hapo juu
  13. 6

    JamiiForums Tanzania Ni neno gani la kiingereza ambalo hukubaliani na spelling zake ila unakubali tu ili mawasiliano yafanyike

    Neno SUBTRACT ulimi huwa unakataa ,ulimi unataka SUBSTRACT
  14. 6

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mbeya mjini wasipodhibitiwa watajenga hadi juu ya Kawetere, matokeo yake si mazuri baadae

    Enzi za Ukoloni mwingereza aliweka base yake Kenya Nairobi ,sisi tulikuwa Protectorate ,maana sisi tulipokwa toka kwa mjerumani,ni wonder Nairobi Iko juu ya Daslam
Back
Top Bottom