nilivo kua chuo nilinunua kalibu kila kitu Cha geto then 2019 baada kumaliza nililud mtaan but sikufikia om nikaamua kupanga.
Om walikataa kabisa suala la mm kupanga but nilisepa bila wao kutaka. So hyo 2019 nikawa nimepanga chumba kimoja 2020 nikapanga chumba na sebule 2021 mwishon nikapanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.