Je, hili tangazo la ajira ni la kweli?

complexi

Member
Jul 6, 2021
67
82
Habarii......natumai kila mtu ni mzima na anaendelea na upambanaji ili kujipatia mkate wa kila siku.
Naombeni msaada wenu kujua kuwa tangazo hili la ajira la TRA ni la kweli maana nilituma maombi na nimejibiwa toka juzi kuwa nimechaguliwa kwenda kwenye usaili..lakini inanihitaji nitoe elfu 35000/=ya maladhi na chakula.
Sasa nashindwa kuelewa kuwa ni la kweli au laah kwasababu naajua humu wapo watu tofautitofauti na wenye ujuzi ya jambi kama hili.
IMG-20211218-WA0064.jpg
Screenshot_20211229_153431.jpg
 
Habarii......natumai kila mtu ni mzima na anaendelea na upambanaji ili kujipatia mkate wa kila siku.
Naombeni msaada wenu kujua kuwa tangazo hili la ajira la TRA ni la kweli maana nilituma maombi na nimejibiwa toka juzi kuwa nimechaguliwa kwenda kwenye usaili..lakini inanihitaji nitoe elfu 35000/=ya maladhi na chakula.
Sasa nashindwa kuelewa kuwa ni la kweli au laah kwasababu naajua humu wapo watu tofautitofauti na wenye ujuzi ya jambi kama hili.
View attachment 2061706View attachment 2061708

Yaani hiyo barua ya kuitwa kwenye usahili imendikwa hovyo sana….na kuna watu watatuma hiyo hela na kwenda Dodoma.
 
Hata jina tu la taasisi limekosewa ...halafu tra kazi wanatangaza kupitia utumishi kwenye ajira portal
 
Back
Top Bottom