fungua kibanda cha mahitaji ya nyumbani mboga mboga, mchele,mafuta,maharage,nyanya, n.k utakuja kunishukuru baadae hii biashara inalipa sana hususa ni mkoani
fungua kibanda cha mboga mboga_dagaa, furu,vituguu,nyanya,mafuta ya kula,maharage,mchele> ila sijui huko uliko kama mazingira yanaruhusu ungekuwa mkoani huku hiyo biashara ni mkombozi pia inafaida mno na hiyo pesa mkoani huku ni ndefu maana hatuna matumizi mengi ya kimaisha yaani frem tunakodi...
Jambo Afrika?
Mimi kama kijana wa sasa mwezi 4 mwaka huu nilinunua cm kali iphone matata ya million 2.3..
Ila nimekuja kukundua kuwa nimekimbilia maisha ya Wastafu!
So hiyo pesa bora ningeiweka kwenye miradi mingne tu kiukweli najuta.
Ee kwema wadau?__ni yule yule kijicho kwenye sket a.k.a mzinzi mjanja asiyekamatika, kutoka Dodoma
Ndugu zangu me nauza duka kama miaka 6 sasa mafanikio nimepata mengi tu ila hii biashara inataka uwe mvumilivu na uwe na siri sana
(1) Uwe na maisha A na B yaani mchana uonekane mlokole...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.