Saikolojia: Katika maisha yako umewahi kusahau nini ukapata hasara?

Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,364
1,078
Katika maisha hua akili yetu inazidiwa na mambo lukuki, kiasi kwamba hueza kupoteza kumbukumbu ya jambo fulani ambapo likapelekea kupata hasara kubwa.

Kwa mfano, mtu hueza kusahau mzigo kwenye basi alilokua akisafiria, kusahau simu sokoni, kusahau waleti nk. Niliwahi mwazima rafiki yangu redio ananiambia alisahau kwenye bajaji iliniuma sana lakini ndo ivyo usahaulifu.

Naomba utuambie wewe uliwahi sahau nini ukapata hasara?
 
Back
Top Bottom