aisee atar sanaaa....ilianzia msituni simbanguru (manyoni) wazee wa machimbo ya mgodi wanapajua ...aani niliingia hifazi nikasoti mawe ya dhahabu alafu kutoka ikawa kimbebe sikuio game walikua na doria kali sanaaa halafu kukawa na mvua kubwa....lakini baada ya yote mola alisaidia nikatoka hadi...
Hapo usiwe na wasiwaisi kijana,kama ulikosea kutuma taarifa unaweza kurekebisha taarifa hio harafu ukawatumia bodi kupitia email yao kisha wao wataifanyia kazi na kuweka taarifa kamili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.