Huyu mwanafunzi anaweza kwenda advance??

Huyu mwanafunzi anaweza kwenda advance??

sawee225

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2017
Posts
3,227
Reaction score
12,125
Wakuu asalaam

Naombeni uelewa wenu kuusu uyu dogo wa kike je anaweza kwenda advance kwa alama izi...na kama awezi kwenda hakuna corse yoyote itayomfaa????

English.B
kisw.C
history.C
civics.C
geography.D
biology.D
maths.F


Sent using Jamii Forums mobile app
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nikushauri... Kama pesa ipo usijisumbue kusubiria advance huko ataenda kupoteza muda tena kwa comb kama hiyo... Chakufanya mpeleke chuo tu akasome diploma 3 years

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom