Toa sababu kwa nini uliachana nae

Toa sababu kwa nini uliachana nae

Aliniacha sababu alinikuta beach nimetoka na wadogo zangu wawili mmoja kaenda kuogelea akatukuta akaanza kututukana tupo kimya mpaka akaondoka nikamwambia huna adabu kmmako.. Amerudi analia eeeeeh
 
Ile nimeshika simu yake nikajaribu kupiga nakuta kanisave MWENYEKITI WA VICOBA aseeh nililia sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] ikabidi nimuache tu maana inauma....[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Typed Using KIDOLE
 
Back
Top Bottom