Recent content by 2009-04-01257

  1. 2

    Ajira polisi zatangazwa

    kwa elimu ipi! kwani ulipokuwa ukijaza fomu kwakuchagua hayao masomo uliyosoma kidato cha sita ulikuwa unachagua kwa kutumia kigezo cha elimu ipi? maana vilevile ulichagua ilihali matokeo yalikuwa bado. wewe sema kwamba hukuwa na wazo la kuwa trafic ila limekuja baada ya kupata hofu ya kukaa...
  2. 2

    Njia gani nzuri ya kumsaidia mjasiriamali mchanga kupata mtaji?

    Ulivyo nishauri bwana Nyabaheta ni vizuri , nimekuwa nikitunza pesa kidogokidogo tangu nilipopata wazo hili nikiwa nafanya mafunzo kwa vitendo kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu mwaka 2010. mpaka sasa nimetunza kiasi cha fedha za tanzania 1,000,000. pengine kadiri alivyo sema bwana Lyamber...
  3. 2

    Njia gani nzuri ya kumsaidia mjasiriamali mchanga kupata mtaji?

    Hiyo' Ogopasana' ni kali mno, vilevile nikifanya hivyo watu watapoteza imani kwangu milele yote.
  4. 2

    CHADEMA yaibwaga CCM kwa jumla ya kura uchaguzi wa madiwani

    Inaendelea mbele,kkkkkkcdazeni cdm pengine mtasaidia siku za usoni
  5. 2

    vita vya nyuklia vyanukia peninsula ya korea.

    RUSSIA na CHINA wakiwa upande wa N korea mpira utakuwa mtamu, ni kweli tutayumba kiuchumi lakini naona bora kuyumba kwa miaka michache kuliko kuendelea kutawalwa na wamarekani ambao wanawa shauri vibaya WB na IMF kutukandamiza kwa sera zao mbaya ktk chumi zetu. akiangushwa USA raha dunia nzima...
  6. 2

    Njia gani nzuri ya kumsaidia mjasiriamali mchanga kupata mtaji?

    Ndugu katika jamii forum, mimi ni kijana wa kitanzania, nategemea kuhitimu mafunzo ya uhandisi katika fani ya uchenjuaji madini( mineral processing Engineering) mwezi wa sita mwaka huu. kutokana na namna wachimbaji wadogo wadogo wa madini hasa dhahabu kutokuwa na uwezo wa kukamata madini mengi...
  7. 2

    Tanzania na Ajira za Kujuana

    mimi sijui na sitaki kujua kwanini watu wanapendelea ama wadogo zao au ndugu zao kupata kazi, pengine wana taka tufikiri kujiajiri ili baadaye tuwazidi pesa maana kwenye mashika au mabank hakuna pesa. kuwa mfanyakazi kule nikutafuta sifa wala siyo pesa, jaribu kujishughulisha na shughuli za...
  8. 2

    Hata kama tunatakiwa kutoiga majina ya “”kidhungu”” lakini haya majina ya kwetu mengine utata mtupu

    ukisema jina lina aksi maisha ya mjina siku za usoni hilo siyo sahihi sana maana maisha ya mtu au jamii huendana na msingi na mfumo wa maisha wanayoishi, rakini cha msingi zaidi mwenye kuamua maisha yawe namna gani ni mtu mwenyewe mhusika wa hayo maisha, wengi wamepatwa na misukosuko na...
  9. 2

    Imethibitika: Kutoka nje ya ndoa husaidia kupunguza uzito wa mwili kuliko kujinyima….!

    niutafiti usio na mashiko, niwakipotoshaji na unakaribisha uwezekano wa kuongezeka kwa matendo yasiyo na mlengo salama.
  10. 2

    Utafiti: Kujamiiana huondoa msongo wa mawazo kwa wanawake.

    pengine yawezekana kuna ukweli lakini kati ya homoni ya thyrotropin realising homorne na serotonin homorne ipi hasa ndiyo inaondoa msongo wa mawazo maana utafiti unaeleza zote zatoa msongo wa mawazo. ni mkanganyiko unaonipa tabu kuelewa huo utafiti
  11. 2

    Kumwambia mwanamke 'FANYA MAARIFA'

    mimi sidhani mme akitamka fanya maarifa mke wangu anamaanisha awe na hicho mnaita kibuzi. kumbuka akiri ni nywele kila mmoja anazake, mwanamme anaweza kuwaza hadi mwisho bila kupata jawabu la kutatua matatizo katika familia yake na kwakuwa mke wake ndiyo msaidizi wake wa karibu ndiyo huhitimisha...
  12. 2

    Videos: VITA VYA KAGERA

    sidhani kufikri kuwa vita vya Kagera ndo jambo la kututesa kiuchumi kwa miaka yote hiyo. ulazima wa kuingia vitani ulikuwepo na tulishinda kwakukomboa kagera iliyotekwa na mnyama huyo, kwakuwa vitu vilitumika ni jambolilo wazi kuwa lazima kuzalisha pengine kikwazo cha maendeleo ni kutokuunga...
Back
Top Bottom