CHADEMA yaibwaga CCM kwa jumla ya kura uchaguzi wa madiwani

Wakuu, naomba nitangulie kwa kusema mimi siko chama chochote cha siasa. Ila ni mpenda ,mabadiliko, ukweli na uwazi.
Kuna mtu kanitumia takwimu za matokeo kasoro kata moja ya Bugarama nadhani ni Shinyanga, (mtaiona katika table).

Nawashauri tu CDM, wajiulize walipojikwaa na wajirekebishe japo wanaonekana kuwa na mwelekeo wa ushindani.

No.KATACCMCDM
1Magomeni (Pwani)1478479
2Bangata1117881
3Daraja mbili13242193
4Mahenge710444
5Mtibwa13723096
6Mtele995297
7Mpapai1443280
8Luwumbu56525
9Malangali12471418
10Lwezera1317925
11Makata80838
12Mlelomiembeni818138
13Minyenze378167
14Karitu854354
15Kiloleni648166
16Ipole365568
17Bugarama
18Mwananza794575
19Lubili1108620
20Kitagiri1416157
21Kikokona1149367
22Nanjaraneha11282370
23Kilema Kusini784734
24Vugiri1460337
25Tamota1060772
26Msalato869450
27Mpwapwa17221189
28Myovizi17261498
29Mpapa903310
JUMLA29,55820,848
Mwanzo mzuri chadema!!uboreshaji wa daftari ndiyo utakaoonyesha spidi halisi ya chadema,vijana wengi hawajaingizwa kwenye daftari kwa makusudi!!vijana hao ndiyo kaburi la ccm,vijana hao wakiingia ccm inatoka.
 
Ilikuwa inatetea viti viwili,ikaibuka na vitano,je inaenda mbele au inarudi nyuma?

suala siyo kutetea viti vyake bali ni nguvu ya chadema kisiasa hivi sasa. huoni kama nguvu za chadema ni za kufikirika tu? pool up your socks. m4c sangara mahedikopta na machopa. adding only three wards is not worth. value for money is not applying here.
 
suala siyo kutetea viti vyake bali ni nguvu ya chadema kisiasa hivi sasa. huoni kama nguvu za chadema ni za kufikirika tu? pool up your socks. m4c sangara mahedikopta na machopa. adding only three wards is not worth. value for money is not applying here.

Adding 3 wards from ccm stronghood is not a joke, poeple are now comfident than ever to throw this paty to the dustbin. TAKE MY WORD. WE ARE TIGHTENING THE GRIP.
 
Kwan mbona naona chadema imejitaid kwan kutoka 2 hadi 5 mwenye kujua hesabu atajua ni kwanini na sema imejitahidi.by R king
 
Kabla ya uchaguzi, daftari liliboreshwa? Kuna majembe mapya ambayo kama lingeboreshwa leo tungezungumza mengine! Weka matokeo ya kata zote ili analysis iwe meaningful. Tutakuwa tunajilisha upepo!
 
Wakuu, naomba nitangulie kwa kusema mimi siko chama chochote cha siasa. Ila ni mpenda ,mabadiliko, ukweli na uwazi.
Kuna mtu kanitumia takwimu za matokeo kasoro kata moja ya Bugarama nadhani ni Shinyanga, (mtaiona katika table).

Nawashauri tu CDM, wajiulize walipojikwaa na wajirekebishe japo wanaonekana kuwa na mwelekeo wa ushindani.

No.KATACCMCDM
1Magomeni (Pwani)1478479
2Bangata1117881
3Daraja mbili13242193
4Mahenge710444
5Mtibwa13723096
6Mtele995297
7Mpapai1443280
8Luwumbu56525
9Malangali12471418
10Lwezera1317925
11Makata80838
12Mlelomiembeni818138
13Minyenze378167
14Karitu854354
15Kiloleni648166
16Ipole365568
17Bugarama
18Mwananza794575
19Lubili1108620
20Kitagiri1416157
21Kikokona1149367
22Nanjaraneha11282370
23Kilema Kusini784734
24Vugiri1460337
25Tamota1060772
26Msalato869450
27Mpwapwa17221189
28Myovizi17261498
29Mpapa903310
JUMLA29,55820,848

Matokeo mazuri sana na yanatia moyo sana.Kumbuka asilimia kubwa kwa hizi kata ziko vijijini.Pili maboresho ya daftari bado.Tatu CDM imeongeza jumla ya kura zaidi ya mara mbili ukilinganisha na uchaguzi uliopita.Hongereni wote mliochangia mafanikio haya.
 
Ubabe wa ccm jijini mwanza unanipa wasiwasi kwani kama umeya tu zinaweza kutumika mbinu zote hizo, walitumia madiwani wa caf, siwezi kusema waliwapa rushwa lakini kunadarili za rushwa kubwa sana, na wakafanikiwa kutoa umeya wa nyamagana. na sasa mbinu kali zimeanza ilemela, madiwani wawili wa chadema na wote wa ilemela wametiwa dani. wasiwasi wangu ni kama umeya tu zinaweza kutumika mbinu chafu namna hii n dalili za kama sio mabilion ni mamillion kutumika kwenye njama izo, Je? uraisi itakuaje nafikiri chadema waliangalie ili kwa umakini sana na wajipange sawa sawa uchaguzi ujao waweze kuchukua maeneo yote ya jiji ata kama kukata vipande vyote vinabaki rangi ya chadema kwani chadema mwanza inakubarika watu haya yote wanayaona na wanayaongelea kazi kwenu chadema.
 
Chadema haikuwa na mgombea ubunge wala mgombea Udiwani kwenye kata ya Tamota jimbo la Bumbuli wilaya ya Lushoto kwa mwaka 2010, wengi walijua influence ya Januari Makamba ingeifanya Chadema isifurukute kwa CCM, lakini hebu tuwe wakweli wa dhamira zetu na tuangalie hizi Twakimu, CCM kura 1060 na Chadema kura 772. Jiulize sehemu ambayo ndio kwanza ina amka kwa kuwa na chama cha upinzani utasema hakuna harufu ya mabadiliko huku hata daftari la wapiga kura likiwa halija boreshwa?!.
 
Nape kazi kwa habari ndo HIYO

KATA CCM CHADEMA
Daraja mbili12142047
Ipole Sikonge
577373
Kilole Sikonge690329
Nanjara Reha11342370
Tomato Lushoto901312
Bugarama1145772
Songea Mjini955297
Mtibwa13723096
Kilema707727
Jumla ya Kura 869510323

Mkuu jnuswe, kwa ajili ya kuweka kumbu kumbu sahihi, hebu rekebisha hapo kwenye red, manake kura za chadema umeziweka kwa ccm, na za ccm kwa chadema.
Thanks
 
Last edited by a moderator:
Nape kazi kwa habari ndo HIYO

KATA CCM
CHADEMA
Daraja mbili12142047
Ipole Sikonge577373
Kilole Sikonge690329
Nanjara Reha11342370
Tomato Lushoto901312
Bugarama1145772
Songea Mjini955297
Mtibwa 13723096
Kilema707727
Jumla ya Kura
8695
10323

kila siku mnaleta data mpya ili kujipa moyo. Haya CDM mlishinda kata 25 kati ya 29
 
suala siyo kutetea
viti vyake bali ni nguvu ya chadema kisiasa hivi sasa. huoni kama nguvu
za chadema ni za kufikirika tu? pool up your socks. m4c sangara
mahedikopta na machopa. adding only three wards is not worth. value for
money is not applying here.

Cha kusikitisha zaidi ni kwamba wakati huo CDM ndio kilikuwa kwenye peak season
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom