Recent content by 1menARMY

  1. 1

    Yani me mawazo yangu yako jeshini tu!

    halafu????????????????
  2. 1

    Yani me mawazo yangu yako jeshini tu!

    kwa kuwa unataka baada ya kukosa kazi nyingine ninauhakika hautaweza ila kama unataka toka moyon kweli fuata moyo wako
  3. 1

    Anatamani turudiane, lakini hataki kukiri wala kuongelea kosa alilofanya..NIMFANYEJE?

    MAKOSA MANGAPI NDO YANAACHA?????tutakufa sana na hili gonjwa kwa mitazamo hii Kaka hapo hupendwi unazugwa tu so shituka mapema
  4. 1

    Anatamani turudiane, lakini hataki kukiri wala kuongelea kosa alilofanya..NIMFANYEJE?

    Sio wanapendana yeye anampenda lkn mwenzie wala,stuka mapema br anakutumia huyo
  5. 1

    Je natimiza majukumu ya kuwa baba?

    Thanx wanajf hii kitu pasua sana kichwa yangu nashukuru kwa ushauri wenu wakuu
  6. 1

    Je natimiza majukumu ya kuwa baba?

    Habar wanajf mwenzenu nina tatizo naomben ushauri, nimeoa nina mtoto mmoja lkn mazingira ya kazi yangu magumu yanapelekea kuwa na familia yangu wiki mbili katika Miezi minne, je mnahisi natimiza majukumu ya famili kweli?ushauri tafadhari wapendwa?najiona sistahili kuwa baba!
  7. 1

    Wasichana wananipenda kupita kiasi

    mpfyuuuuuuuuuuu!!
  8. 1

    Je upoje kitandani??

    Ahsante bana
  9. 1

    Mama alinyanyaswa.

    Pole sana mkuu,ilahamjamtendea haki kaka yenu,mwelezeni ajua mapungufu ya mkewe ili ajiandae kama mama kafanyiwa hivyo haitashindikana kwake pia
  10. 1

    Ukitaka kumuua mwanaume kisaikolojia!

    Akikuuliza nan kakufundisha tabia hiyo mbaya sema ni VUKANI
  11. 1

    Naombeni ushauri

    Na je ingekuwa na wanawake watupu??
  12. 1

    Poor me!

    Nimeipenda hiyo!!
  13. 1

    Nimemkuta anasasambua huku akipigiwa makofi

    Ajira hiyo kaka,kama mkwanja waliomtunza wa kueleweka fanyen club mbalimbali
  14. 1

    Bikra yake imechukuliwa na doctor

    Hamna kitu hapo kaka na hata misaada uliokuwa ukipewa sio kutoka kwao na kwa wanaume wenzako na sio mmoja
Back
Top Bottom