Recent content by 19november

  1. 1

    Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

    Mwombe Mungu akupe Neema na Amani ya kuongea jambo hilo,kwanza mwambie mchugaji wako maana yeye ni mtuza siri za watj wa Mungu, naye atakupa ushauri nink cha kufanya,usianze kwanzq na mchumba wako kabla ujapata kibari cha mchungaji na Amani ya Kristo iamue Moyoni mwako kwanza.
  2. 1

    Nataka kujenga ghorofa 5, itanigharimu Milioni ngapi?

    Kitu cha kwanza mtoa mada lazima useme matumizi ya ghorofa, je ni commercial, commercial ya maduka,commercial ya hotel au Residential hapo unamsaidia ata architecture kujua anaanzaje kudesign ghorofa yako ukipata I deal ya ghorafa yako unaweza kwenda kwa quantity surveyor kukupatia gharama za...
  3. 1

    For JamiiForums Mobile users

    [Color=red]why[\color]
  4. 1

    For JamiiForums Mobile users

    [Color=Yellow]mbonainagoma[\color]
  5. 1

    For JamiiForums Mobile users

    [Color=Red]watu pipooz[\color]
  6. 1

    Uchumba wangu upo mashakani

    Wakati mwingine watu tumekuwa tunafik njia panda katika mambo ambayo yapo juu ya uwezo wetu, kinacho onekana mdad huko upande mmoja na wazazi wako chamsingi usipende kumwazia mwenzako itakuwaje maana yeye anaweza kuyapokea tofauti unavyotegemea, cha msingi simama katika kile unacho...
  7. 1

    Post SMS za vichekesho na utani hapa

    Maswali sita ya mwisho wengi tunge feli
  8. 1

    JF Business Club: Imeanzishwa rasmi leo na members wenye commitment ya kipekee kabisa

    Hongera members kwa kuanzisha kitu hiki na jambo jema,tunasubiri katiba tujiunge
  9. 1

    Unadhani Kuna Njia Nzuri Gani ya Kupambana na Rushwa Tanzania?

    Rushwa inaweza kuhisha u kupungua kama kila mmoja angechukua nafasi yake, na kuacha ubinafsi maana kila mtu leo akipewa madaraka anataka kuwa tajiri na ukoo wake bila kujali watanzania wenzake,pia watanzania kuwa kemea wale wanao toa na kupokea Rushwa kama tunavyo wakemea/adhibu wezi wa mitaani...
  10. 1

    Nifanyaje ili nisipende sana, naomba ushauri

    Watu wengi wanapenda pale wasipopendwa au kupenda kwa kutegemea kupendwa(condition love,I love u and u love me back),penda bila kuwazia chochote in return na jaribu kusoma mchezo usipime kina cha maji kwa kuweka mguu,utazama tu.all the best in love journery
  11. 1

    Dk Hoseah akiri Takukuru ‘kunuka’ rushwa

    Wakati mwingine tunatafuta majibu mepesi kwenye maswali magumu,dk hosea tangu kaingia Takukuru ndo tumeanza kuskia kazi ya Takukuru tumeona watu wakipelekwa mahakamani na wengine kuchukuliwa hatua,kwa Tanzania ya leo kusema Rushwa haiwezi kuwepo ni ndoto maana Rushwa ilikuwepo tangu enzi za...
  12. 1

    Unapopata Bwana Mpyaaaa Wa Ukweliii And Your Old Rag BF anazidisha wema na mapendoo.! Imemkuta!

    Inaonekana keshafanya maamuzi anacho subiri nani wakumsaidia cha kufanya ili kikitikea apate wakumtwisha mzigo.something iz better than nothings
Back
Top Bottom