Uchumba wangu upo mashakani

Uchumba wangu upo mashakani

a) I've not seen your stand if faith (Imani yako wewe na mtizamo wa kiimani yako juu ya ndoa hiyo)
which is the driving force of life

b) I also have not seen you mentioning Love which is the driving force of marriage.


And these are the core parameters in judgement of your issue
sumia
 
Last edited by a moderator:
Hapo unasema wazazi walikubali kupokea mahari kwa sababu ulikuwa mjamzito, ukweli ni kuwa fedheha kwao ndio uliowapelekea kukubali uolewe na kuficha aibu yako, ukweli utabaki pale pale. Kurudisha mahari sio suluhu ya tatizo ila hapo dini inachangia ndio maana wameamua kurudisha mahari. Kaa na wazazi especially mama na umwambie kuwa mmnapendana na unataka awe wako milele, omba radhi zao na omba Mungu kwa sana.
 
Ao wazazi ni wakuwapeleka polisi tu huwezi kumfanya kijana wa watu kama mdoli

Mkuu, unawezaje kumpeleka mzazi police? Awe Wako au wampenzi wako sio sawa hata kidogo...
 
Mrembo vuta subra, kaa chini na wazazi wako waeleze na kama wanakupa valid reason yakuachana na Huyo bwana usilazimishe, kumbuka pepo Uko chini Ya miguu Ya wazee wako, na vile vile ndoa huandikwa mbinguni..
 
Wazazi wako sahihi kabisa nikifikiria jinsi dada zangu walivyoteseka na hawa ISIS huwa sina hamu nao kabisa
 
kisa cha kwanza ni dini

kisa cha pili ni ujauzito

kisa cha tatu ni miscarriage

nauliza hivi kurudisha mahari ni mkosi???
 
1;Baraka za wazazi ni muhimu sana kwenye ndoa yako. kama wako against usilazimishe coz utajuta baadae.
2; Ndoa itakuwa nzuri kama mtakuwa mnaamini kitu kimoja( Imani) Mkiwa na Imani tofauti ni matatizo kwako na kwa watoto mtakao wazaa.
 
Wakati mwingine watu tumekuwa tunafik njia panda katika mambo ambayo yapo juu ya uwezo wetu, kinacho onekana mdad huko upande mmoja na wazazi wako chamsingi usipende kumwazia mwenzako itakuwaje maana yeye anaweza kuyapokea tofauti unavyotegemea, cha msingi simama katika kile unacho kiamini,kitakachotokea ukose wakumlaumu
 
Pole sana kwa kilichotokea na kitakachotokea.! Ingawa ndoa ni ya watu kimsingi yaani mume na mke wanaongezeka ni mbwebwe tu, lakini maneno ya watu YANAUMBA.

Mpaka hali ilivyo sasa nakushauri usilazimishe wasilolitaka wazazi wako maaana kuna leo na kesho, maisha ya ndoa ni marefu.

Ila baada ya kupita hili hakikisha umejua kwanini awali posa ilikubaliwa halafu inakataliwa? Jibu ni rahisi mchumba wako si chaguo la wazazi wako hivyo walikubali ili kuficha aibu ya kuzaa mtoto asie na baba.
Yawezekana hata FITNAza midomo yao ndi zimechangia mimba kutoka. Kama ipo ipo tu wasikie wazazi vuta subira atotokea mwingine. Lakini tafuta jibu kwanini mchumba wako si best choice kwa wazazi wako ili kwa mchumba ajae isijirudie!

USHAURI SIYO LAZIMA UKUVUTIE
 
Kamata mimba nyingine fasta.... Mwanamke huwa anakuwa na rutuba zaidi wiki chache baada ya abortion. So, make sure unanasa mimba nyingine fasta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom