Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,932
- 30,045
...labda na Kikwete atakubali hivi karibuni kwamba Ikulu yake inanuka rushwa na inaongoza kwa kupokea rushwa kuliko taasisi yoyote ile nchini.
Zile fedha za ESCROW zilizogaiwa kupitia Benki ya Stanbic zinathibitisha hili!!