Kwa wale wahandisi wenzangu naomba msaada wa jinsi gani naweza kujifunza na kuimudu masterseries
Au kama kuna member(mhandisi) anaweza plzz tuwasiliane
dismas.elly@yahoo.com
Kaka Ukisikia TPA maana yake inaratibu Tanzania nzima,Kama rais angeuliza dar port kuna meli ngapi Kwa maelezo yako upo Sawa...sisi Ni mashaid wa kuona Na si ku Google Kama wewe!
Wakuu sina mengi zaidi ya kuwaomba mnishawishi kuwa ujio wa mwarabu huyu ambaye ni mfalme wa morocco hauna madhara kwangu wala kwa kizazi kijacho kwa nchi yangu...Maana mzee wetu nyerere aliwahi kusema 'kaburu ni kaburu tu'
*** YOU MTOA MADA...KIBA KAONGEA VIZURI SANAA...kasema maisha yamekuwa mazuri tofauti Na mwanzo,ame tengeneza ajira Kwa kizazi kipya, Na yeye Ni mkongwe hapa kwetu...Asante ally wewe Ni mswahili kiingereza si lugha yako Na umeeleweka vizuri
Kumbe ndo mnataka nchi ifuate utaratibu hata kwenye maovu
Haijaandikwa kwenye kipengele chochote CHA sheria kwamba ukiona mwili shart umwambie mwenye kuibiwa kwanza
Na alichofanya mwijage ndo hicho kinaitwa maslahi ya taifa mbele kwanza.
Wakuu! Nahitaji kununua IST NEW MODEL, Kwa matumizi ya kwenda Na kurudi ofisini lakin pia kumsaidia mke wangu kwenda clinic..nimezipenda sana mwonekano wake lakin sijui sana kuhusu,ulaji wake wa mafuta,spare zake Na pia uimara wake, Msaada wakuu Kwa anayezifahamu!
Wakuu, Mimi Ni mwajiriwa serikalini mwaka huu nimetimiza miaka mitatu kwenye ajira hiyo, Nimekuwa kila nikipata kiji mshahara kangu nawekeza kwenye biashara Na sasa biashara imeshamiri wasi wasi wangu, Ni kuhusu ajira yangu, haiwezi kuwa hatarini wanasheria nisaidieni hapo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.