ACACIA: Tumekula hasara bilioni 40 kwa wiki mbili baada ya kuzuia kupeleka mchanga nje. Tutawafidia?

Kwa hili Magu tusimlaumu, tumbane la Makonda tu.

Magu anachotaka hapa ni smelting ifanyike nchini, sio kitu kibaya, hawa watu wa mining wanalalamika kua haitokua profitable kwa sababu ya volume, Tanzania ni moja ya nchi zinazooongoza kwenye mining, if we don't have the volume nchi nyingine watasema nini.

Tatizo ni lile ban inapigwa alafu bado hatujajenga kiwanda cha kufanya smelting, sasa manake mchanga ukae tu au? Au ndo wameamua kupima upepo kuona kama kiwanda kitatengenezeka?

They have to play smart kwenye hili swala la si hivyo kuna kukimbizwa mahakamani na kulipishwa pesa ambazo hata hazipo, wakijipanga lakini jamaa wataelewa tu.
 
Hao jamaa wako smart kuliko unavyofikiri; si wajinga kihivyo. Ni lazima kuna kipengele somewhere kinawalinda.

Mimi nadhani hata kama tutapigwa tutasolve matatizo ya mikataba yetu moja kwa moja kwa ajili ya vizazi vijavyo. Bado tuna dhahabu nyingi sana kuliko hii ambayo tayari tumeibiwa. Tutapata mwanzo mpya kabisa kwa watoto na wajukuu zetu.
 
Natamani kuupata mkataba niusome then nami niseme vyangu

Naweza upata wapi???
 
Hawajapata hasara bali wamezikosa. Kwa sababu katika mkataba mchanga haumo bali ni makubaliano ya ziada tu

Mkuu
Hapo kidogo naomba urejee tena kusoma vizuri "Our remaining revenues are less than all of the costs of running these businesses. Clearly this is not a sustainable situation."

Hivi makubaliano ya ziada sio moja ya kipengele cha mkataba.
 
serikali ileile ilyosaini mikataba bado serikali ileile inalaumu mikataba hivi waliosaini walikuwa wa serikali gani? au hapa tanzania kila waziri anaserikali yake?
 
Unavyoongoe utadhani unajua pa kuupeleka. Hivi ukiachiwa huo mchanga na ufinyu wa teknolojia mlio nao, mtaufanyia nini? Sisemi waendelee kuuchukua, ila nataka tuandae mazingira mazuri ya namna ya kuzitumia rasilimali zetu. Sio tunafanya kwa kuwakomoa watu

Mkuu:
Kwani huo mchanga unaoza.
 
PAPARA KAMA ZA ILE MELI YA UVUVI~HASARA,NA KULIPA JUU..
•NASHAURI WA RE-CALL HUO MKATABA HALAFU WAUSAHIHISHE NADHANI LAZIMA UNAMADUDU HATARI NDANI YAKE,WAUSAHIHISHE MPAKA AT-LEAST TAIFA LIFAIDIKE KWA WALAU WASTANI WA 50%
 
Kwa maana hiyo ni wastani wa 20bn/- kwa wiki. Maana yake ni kwamba kwa mwaka ni 20bn x 52 = 1040bn/=. Kwa miaka mitano ni 1020bn x 5 = 5.2 tr./= ambapo watafungua kesi kudai fidia ya kuvunja mkataba. Kwa mwendo huu kuna siku hii nchi itafilisika rasmi. Hope mkataba uko vizuri in favor of the public interest na sio kama ile ya IPTL, Symbion, et. al.

simple.. kama wanasema walikuwa wanapata hizo 20b kwa wiki na sisi tunadai kodi yetu yote kwa muda wote waliokuwa wanasafirisha!

alaf mimi nashangaa wakawa sijui wamekuaje?? hawa ndo mimi nilikuwa nawaunga mkono katika kupinga mikataba kama hii ya kinyonyaji, leo katokea mtu anataka kuirekebisha wananuna tena, yule aliyesaini mikataba hii wanasema wanammisi!
 
Kampuni ya Acacia imedai kula hasara ya bilioni 40(dola milioni 17 baada ya mkataba wake wa kupeleka mchanga nje kuvunjwa.

Wamesema wanaangalia "options" zote zilizo upande wao,nadhani la kwenda mahakamani kudai fidia pia liko mezani

Wiki mbili bilioni 40,je mgogoro huu ukimaliza mwaka au miaka miwili itakuwa pesa ngapi na riba na magharama ya usumbufu? Atalipa nani,kwa kuzitoa wapi?

Bado kuna symbion power,mgodi wa dutwa...........

Tusubiri tuone filamu hiiView attachment 482474
Kibao kimewageukia wao. Kumbe walikuwa wanatuibia kiasi hicho kila wiki kwa kisingizio wanasafirisha mchanga kumbe ndani yake ni mabonge ya madhahabu. Scanners zimetuonyesha kilichomo ndani ya mamia ya makontena ya machanga yaliyokamatwa!! Inauma sana, itabidi kampuni ifilisiwe kufidia wizi huo. Hongera sana Magufuri kwa kugundua janja yao.

Yaani kupata faida ya 20 billion kwa wiki maana yake ni kuwa umeuza dhahabu yenye thamani isiyopungua billion 100 kwa wiki ( assume net profit is 20%). Kwa mwezi dhahabu inayouzwa kupitia mchanga transport ni ya thamani ya billion 400, karibu nusu ya makusanyo ya TRA kwa mwezi. Na hiyo ni inayosafiri kwa mchanga. Ipo inayosafirishwa kwa ndege au usafiri wa kawaida. Na huo ni mgodi mmoja tu. Kweli Tanzania ni tajiri ila watu wake ni nyumbu.
 
He he he he..muvi ndio kwanza imeanza steringi anakufa kwenye maua
Lunatic public sectors management , ridiculously political hatred ,massive pool poverty to the most of the people ,shattered dreams of better life pursuit are some of the driving forces behind utterly economic and development darkness of this country over the years and it's the same movie on the run
 
Kampuni ya Acacia imedai kula hasara ya bilioni 40(dola milioni 17 baada ya mkataba wake wa kupeleka mchanga nje kuvunjwa.

Wamesema wanaangalia "options" zote zilizo upande wao,nadhani la kwenda mahakamani kudai fidia pia liko mezani

Wiki mbili bilioni 40,je mgogoro huu ukimaliza mwaka au miaka miwili itakuwa pesa ngapi na riba na magharama ya usumbufu? Atalipa nani,kwa kuzitoa wapi?

Bado kuna symbion power,mgodi wa dutwa...........

Tusubiri tuone filamu hiiView attachment 482474
Sasa ww ulikuwa unatakaje mleta mada? Waendelee kusarisha au unaonaona in sawa kilichokuwa kinafanyika,unaanza kuuliza fidia atalipa nani hili ni tatizo haina maana ukiwa ufipa Basi ubongo uwe na kigeugeu ukifanyiwa mabaya utataka mazuri na ukifanyiwa mazuri utataka mabaya,kuwa upinzani sio kuwa bwege haya shauri nini kifanyike na kikawa na faida kwa taifa lako.
 
Kampuni ya Acacia imedai kula hasara ya bilioni 40(dola milioni 17 baada ya mkataba wake wa kupeleka mchanga nje kuvunjwa.

Wamesema wanaangalia "options" zote zilizo upande wao,nadhani la kwenda mahakamani kudai fidia pia liko mezani

Wiki mbili bilioni 40,je mgogoro huu ukimaliza mwaka au miaka miwili itakuwa pesa ngapi na riba na magharama ya usumbufu? Atalipa nani,kwa kuzitoa wapi?

Bado kuna symbion power,mgodi wa dutwa...........

Tusubiri tuone filamu hiiView attachment 482474
ila hawa wazungu wanatupiga sana asee yani wiki mbili tu bilioni 40 piga hesabu mara mwezi,mara mwaka mara miaka mitano ni pesa ngapi wanapata? aaaaggggggrrrrrrrrrrrr na huo ni mchanga tu....!!!!

Magufuli komaa nao hawa mbwa koko wasitufanye malofa "to that extent"...
 
Back
Top Bottom