Recent content by 10000

  1. 10000

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

    Malaika aongeze kula karoti bado kidogo apatie
  2. 10000

    JamiiForums Tanzania Jussa kaamua kufungua Pandora box! Kazi imekwisha

    Matanganyika ya ccm ni majinga sana
  3. 10000

    JamiiForums Tanzania Zama za mwisho wa dunia? Mchina aja na teknolojia hii

    Huo ukuta uko wapi tupatie na picha tuone
  4. 10000

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kulala wageni Kurasini ni Changamoto sana

    Nenda TEC pale kama kuna nafasi wanaweza kuku accommodate
  5. 10000

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    Hatutaki reforms za kiini macho kama ile ya time huru, tunataka reforms za kweli ili uchaguzi uwe huru na haki. No reforms, No election
  6. 10000

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Jeshi la Polisi lazingira Ofisi za Chadema Kanda ya Nyasa

    Labda wanataka wamrudishe Mpaluka
  7. 10000

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joram Nkumbi ageuka kuwa chawa wa CCM? Amesimama jukwaani anamnadi Dkt. Nchimbi kwa Wananchi

    Kwani ni lini aliacha kuwa nyinyiem? Huyo ni miongoni mwa wanyaturu wajinga sampuli ya suphian nkuwi
  8. 10000

    JamiiForums Tanzania Unaweza oa mwanamke wa miaka 35?

    Ya simba na al masry taifa
  9. 10000

    JamiiForums Tanzania Nauza Water Pump Ya Boss Brand New

    Ingekua ya nchi mbili ningewahi chap
  10. 10000

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanaume usinunue ng'ombe Kijiji ulichotoka

    Hii ni kazi ya fasihi, safi kabisa
  11. 10000

    JamiiForums Tanzania Hivi hospital ya Muhimbili Mloganzila ni Hospital ya Serikali? Kama ndio, Kwa nini gharama ziko juu Sana Kiasi hiki?

    Tafuta hela mkuu acha kulia lia mitandaoni
  12. 10000

    JamiiForums Tanzania Katibu wa UWT Mbeya aliyefariki kwa ajali, maiti yake imepata ajali ikisafirishwa

    Vipi hali ya marehemu hajaumia?
  13. 10000

    JamiiForums Tanzania Huko bei ya Nyanya imekaaje?

    Box la nyanya bila laki usilisogelee kigogo sokoni hapo
  14. 10000

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kwa Serikali ya CCM Jeshi la Magereza linadhalilika

    Hawa si ndio wanaosaidia kuiba kura kumbe wako apache alolo
  15. 10000

    JamiiForums Tanzania Ushauri umetolewa kuwa, anayetaka mke bora, basi na aoe askari

    Back in days, alipoenda chuo chao kule moshi akasema wameambiwa waolewe na mapolisi wenzao, mpaka leo bado anazungusha shanga tu umri unamtupa mkono. Huyo mama anajikosha tu maelekezo anayajua.
Back
Top Bottom