Recent content by 0753535994

  1. 0753535994

    Hili la bwana mdogo (mwanafunzi) kujisomea kwenye taa za barabarani limekaa kisiasa kabisa

    Mzee mm nimezaliwa kijijini tena kijiji kweli ata pikipiki kuiona shida ila tulijisomea usiku kwa kutumia vibatali sasa kuniambia dogo kwao hawana hata kibatali kama mzazi ameweza kumruusu akajisomee barabarani basi mzima uyo ashindi kununua mafuta ya taa kwa ajili ya mtoto kujisomea
  2. 0753535994

    Hili la bwana mdogo (mwanafunzi) kujisomea kwenye taa za barabarani limekaa kisiasa kabisa

    Mimi nimeifatia hii nikaona kabisa ni mchongo kama ulivyosema hakuna mzazi atamruusu mwanae akajisomee barabarani tena usiku.
  3. 0753535994

    Diaspora wa Tanzania wana roho mbaya

    Pia wapo wengine wanalilia kwenda nje ila haijui ata ofisi ya uwamiaji imeangalia wapi ata kwenda kuulizia utalatibu wa passport ajawai ila kila siku anamsumbua mtu nataka nije uko nitafutie plani wewe hiyo sio safari ya dar to arusha
  4. 0753535994

    Diaspora wa Tanzania wana roho mbaya

    Shida inaanzia hapa Tanzania kama Tanzania hatuna mawakala wa kutafutia watu kazi nje ya nchi ndomaana waliopo uko wanashindwa watakusaidia he? Uwaliowengi wameenda kwa njia ya masomo nabwengine kipelekwa na ndungu sio kama kenya na uganda wao serikali yao ina mikatamba na mawakala wa nje ya...
  5. 0753535994

    Vita vya Kagera 1979: Kwanini Jeshi letu lilipitia mipaka ya Sudan badala ya kukatiza hapo kati kufika Kampala?

    vita vya Kagera) na Uganda kama Vita vya Ukombozi vya 1979, [a] vilipiganwa kati ya Uganda na Tanzania kuanzia Oktoba 1978 hadi Juni 1979 na kupelekea kupinduliwa kwa Rais wa Uganda Idi Amin. vita hivyo vilitanguliwa na kuzorota kwa mahusiano kati ya Uganda na Tanzania kufuatia Amin mwaka 1971...
  6. 0753535994

    Mwana FA jishushe kidogo unapokuwa na bosi wako

    Daah! Umenena vyema sana mkuu
  7. 0753535994

    Weka picha: Uko wapi sasa hivi na unafanya nini?

    Mitaa flani hivi
  8. 0753535994

    Natafuta kazi ya salon

    Naitwa edson Joseph malingumu natafuta kazi ya salon upande wa nail artist, pedicure & mancure. Kwa sasa naishi nchini uganda ndo nako nafanyia kazi Ila naitaji kurudi nchini kwangu. Nna uzoefu wa kutosha na hiyo kazi
  9. 0753535994

    Natafuta kazi ya salon

    Naitwa Edson Joseph malingumu natafuta kazi ya salon upande wa nail artist, pedicure & mancure. Kwa sasa naishi nchini uganda ndo nako nafanyia kazi Ila naitaji kurudi nchini kwangu. Nina uzoefu wa kutosha na hiyo kazi namba ya +255753255263 /+256708462740
  10. 0753535994

    Mitego ya wanawake

    Mimi naisi ni tamaa zetu unajua wanaume tuna tamaa sana.
Back
Top Bottom