spray
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 277
- 241
Hi wanabodi,
Ni msingi wa ghorofa 3, ilidizainiwa kama hotel,
Tunatafuta mtu, Shirika au taasisi ya kuingia Nayo ubia katika ujenzi wa Jengo,
Eneo liko sehemu nzuri sana Morogoro mjini...
Nimekuonesha pia na majengo yanayopakana na site hiyo...
Karibuni