Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,802
- 2,719
Habari wakuu.Kutokana na kuhamia biashara nyingine ya mkaa mbadala, nauza biashara ya yangu ya utengenezaji sabuni bila kutumia mashine iliyo na makazi mapya hapa Kibaha mjini,kata ya Misugu sugu.
Mnunuzi wa biashara hii, atapata vifuatavyo:
1.Mafunzo ya utengenezaji sabuni za udongo zinazotibu magonjwa ya ngozi kama chunusi,mabaka,fangasi bure
2.Brand ya biashara kama ilivyoambatanishwa
3. Contact na kutambulishwa kwa wasambazaji wa material
4.Wateja 10 wazuri wa kuanzia
5.Vifaa vya kutengenezea sabuni hizi za kipande na material ya kuanzia
6. Account ya kunasia wateja facebook na Instagram
Bei ni tzs 250,000/- (Laki mbili na hamsini elfu tu)
kwa maelezo zaidi wasiliana nami:
0713-039875