Nauza mashuka ya asili ya cotton

Nauza mashuka ya asili ya cotton

thatone

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2019
Posts
365
Reaction score
196
Habarini wapendwa wana JF.

Nauza bedsheets /shuka pamoja na foronya zake nne kama inavyoonekana kwenye picha, shuka ni 6 x 6.

Kwa bei ya jumla ni 55 elfu na reja reja ni 70,000.

Napatikana Kalenga opposite na Tambaza (Dar es salaam) pia mkoani tunakufikia mteja wetu tu kwa mawasiliano au maelezo zaidi naomba mniPM kwa mtu aliye serious shuka ni material ya pamba safi kabisa.

SHUKRANI

IMG-20191230-WA0028.jpeg
IMG-20191230-WA0030.jpeg
IMG-20191230-WA0029.jpeg




Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom