Inahitajika nyumba ya kupanga Sinza

Inahitajika nyumba ya kupanga Sinza

Status
Not open for further replies.
wakuu Nina mdogo wangu anakaa maeneo Ya Tegeta sasa anataka kuhama Tegeta na kuhamia Sinza, hivyo anahitaji nyumba nzima Ya kifamilia maeneo Ya Sinza.
Hivyo Kama kuna mtu ana nyumba maeneo Ya Sinza awasiliane Nae Kwa namba hii 0765135491 plz yeye Hana hela Ya kumpa Dalali. Wakuu kuna wale ambao wanahamia Dodoma na labda
Walishalipa nyumba maeneo Ya Sinza wawasiliane Nae wafanye kubadili mkataba plz nyumba inayohitajika ni nyumba nzuri yenye unafuu wa pango
Plz wenye nyumba maeneo Ya Sinza wasiliana na huyu mdogo wangu kupitia 765135491
Ipo sinza kumekucha, jingine ipo sinza kijiweni anipe pesa ya udalali nimuunganishe na mwenye nyumba.
 
Dunia duara. Wengine wanaihama Sinza baada ya vyuma kubuma. Wengine ndiyo kwanza wanakutaka Sinza.
Kweli usiseme hela ngumu siku hizi. Sema sina hela kivyako.
 
Yeye anataka nyumba ya bei nafuu halafu barabarani yuko serious huyo anajua nyumba za sinza zilivyo ghali.
Sio kwamba lazima iwe barabarani kabisaaa no mkuu ila angalau iwe jirani kabisaa Na barabarani hataki Nyumba ya ndani ndani anamtoto anasoma ambae ni Mdogo anataka akishushwa na school bus awe anafika home pasipo kufuatwa
 
Dunia duara. Wengine wanaihama Sinza baada ya vyuma kubuma. Wengine ndiyo kwanza wanakutaka Sinza.
Kweli usiseme hela ngumu siku hizi. Sema sina hela kivyako.
🤣🤣Kweli mkuu Sinza ni sehemu ghali kuishi kule ufanye biashara tu wanao ishi kule mshahara kwa mwenzi million kwenda juu.
 
Sio kwamba lazima iwe barabarani kabisaaa no mkuu ila angalau iwe jirani kabisaa Na barabarani hataki Nyumba ya ndani ndani anamtoto anasoma ambae ni Mdogo anataka akishushwa na school bus awe anafika home pasipo kufuatwa
OK ngoja niwachekii kwanza wenye nyumba.
 
🤣🤣Kweli mkuu Sinza ni sehemu ghali kuishi kule ufanye biashara tu wanao ishi kule mshahara kwa mwenzi million kwenda juu.
sinza kuna uexpensive gani mkuu?au wale makahaba ndio wanakuogopesha?sinza maisha ya kawaida sana
 
wakuu Nina mdogo wangu anakaa maeneo Ya Tegeta sasa anataka kuhama Tegeta na kuhamia Sinza, hivyo anahitaji nyumba nzima Ya kifamilia maeneo Ya Sinza.
Hivyo Kama kuna mtu ana nyumba maeneo Ya Sinza awasiliane Nae Kwa namba hii 0765135491 plz yeye Hana hela Ya kumpa Dalali. Wakuu kuna wale ambao wanahamia Dodoma na labda
Walishalipa nyumba maeneo Ya Sinza wawasiliane Nae wafanye kubadili mkataba plz nyumba inayohitajika ni nyumba nzuri yenye unafuu wa pango
Plz wenye nyumba maeneo Ya Sinza wasiliana na huyu mdogo wangu kupitia 765135491
Wakuu
 
Ungetaja budget yake sinza ninayoijua mm kuna nyumba nyingine wanapangisha kwa $
 
sinza kuna uexpensive gani mkuu?au wale makahaba ndio wanakuogopesha?sinza maisha ya kawaida sana
Kwanza Sinza huwezi kulea mtoto kwa amani wanawake wanaongoza kuvaa nguo za ajabu, madawa ya kulevya kule ndio shimbo ukipaona kuzurii ila Kuna umavi wa ajabuu aisee
 
sinza kuna uexpensive gani mkuu?au wale makahaba ndio wanakuogopesha?sinza maisha ya kawaida sana
Maisha ya Sinza uwe na pesa hasaa hakuna kule andazi la Mia mbili yaani mtu una umiza kichwa kweli kweli vyakula ghali 🤣🤣🤣🤣
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom