Uwekezaji mashamba ya miti kwa bei nafuu

muro mrefu

Member
Sep 10, 2017
52
40
Habari za kaz. kwa mwenye uhitaji wa mashamba ya uwekezaji wa miti ya nguzo na mbao iringa, wilaya ya kilolo anicheki kwa namba 0743628883, bei ya shamba kwa ekari shiling laki na hamsini. karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio inakuaje ..unaweza ukachanganua hapa...tuone namna ya kulifabya jambo hill?
 
I don't know you meant you need more clarification on which angle but shortly I can tell you that.. haya mashamba yanaweza kutumika kwaajili ya mazao mbalimbali ya chakula ya ukanda huu wa kusini nyanda za juu km mahindi, viazi, ngano, alizeti n.k. lkn kwakuzingatia kilimo chakibiashara especially kwa mtu alie mbali ambapo usimamizi hautakua changamoto sana tuna recomend mtu awekeze katika kilimo hiki cha mbao na nguzo, ambapo ipo miti aina mbili pine na milingoti. Pine hutumia miaka 7 to 10 kuvunwa na milingoti hutumia miaka mi2 to 5 years kutegemea na matumizi kusudiwa. Ekari moja inaweza kubeba miti mia 700 kwa milingoti na 900 kwa miti ya mipaini. bei ya soko kwasasa ni wastani wa 60k to 70k kwa milingoti na 90k to 110k kwa mipaini
Ndio inakuaje ..unaweza ukachanganua hapa...tuone namna ya kulifabya jambo hill?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je na gharama ya kuwekeza hilo shamba kiasi gani mf. Shamba 150000, kusafisha shamba, miche ya miti 700 au 900 Bei gani, gharama nyingine. Tupe abc wengine tupo mbali na huko ila tunahitaji kuwekeza tukipata mchanganuo mzuri. Asante kiongozi.
 
Back
Top Bottom