Habarini wapendwa wana JF.
Nauza bedsheets /shuka pamoja na foronya zake nne kama inavyoonekana kwenye picha, shuka ni 6 x 6.
Kwa bei ya jumla ni 55 elfu na reja reja ni 70,000.
Napatikana...
HNCS(Hadi Nyumbani Car Services)
hii ni kubwa kabisa kwa wakazi wa Dar es Salaam na Vitongoji Vyake
Inakusogezea Huduma zote za car services kwa ajili ya gari yako kwa kukufuata hadi nyumbani...
Habarini,Wale wanaohitaji pikipiki used made in japan tuwasiliane tuanze na hii ya hapa Chini
Type/Model of Motorcycle DT175 Yamaha
Fuel used Petrol
Engine capacity:171,two stroke
Year of...
Ndugu zangu nahitaji vts new model bajeti yangu ni mil 4 Hadi 4.7 mwenye nayo tuwasiliane kwa namba 0712348834 au 0653165134
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu Habari za hapa jukwaani.
Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya karibu na airport (JNIA) kiwe na sifa zifuatazo:-
1. Kiwe ni Master Bedroom.
2. Kiwe chumba kikubwa.
3. Kiwe na LUKU ya...
Nahitaji kupata bidhaa tajwa hapo juu.
Naomba kufahamu anayeuza tuwasiliane aniuzie au anayefahamu mahali inapouzwa.
NB Nahitaji kiasi kidogo, 1 kg maximum
Ntashukuru sana.
Heri ya mwaka mpya...
*Toyota Opa*
Cc 1790
1zz engine
Year 2000
Automatic
Fm radio
Full Ac
Leather seats
Sports rims
Full document
Price : 6.5M
Call 0711600998 au 0684311401
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajamvi Km Heading Inavyojieleza Nnahitaji Kuanzisha Bihashara Ya Kuuza CD Hasa Zilizo Tafsiriwa.
Hivyo Nahitaji Kujua Chimbo Hasa La Upatikanaji Wa Mzigo Kwa Bei Ya Jumla.
Habari wakuu! Kiwanja chenye ukubwa wa square meters 600 kinauzwa Tshs 6,500,000. Kiwanja kimepimwa na Manispaa ya Morogoro na hati ipo hatua za mwishoni kutolewa. Kiwanja kipo Kingolwira karibu...
Kipo kitungwa$ bear nanenane) nyuma ya like gorofa kubwa linalojengwa pale. Kina hati Square meters 876. 15M. Takribani meter 300 kutoka barabara kuu ya Moro -Dar. Njoiin vo
kwema wakuu, nko dar natafuta gari ya mkononi, bajeti 4-5M, vitz/Glanza/carina......nk..cc900-cc1500.. Sihitaji yenye piston 3, ukinirushia picha DM ntashukuru zaidi.
Internal storage Gb 8
Network 4g
Used like new haina tatizo lolote wala crack
Price 120,000
0654846084
Ukilipia 125,000 nakupa na memorycard ya gb 32
Sent using Jamii Forums mobile app
Fremu inaangalia soko la mihogo na matunda, ina ukubwa wa 9,11 ft. Nilikua naipangisha kwa 100,000/= kwa mwezi. Kama unahitaji tuwasiliane kwa 0624074570
Nauza King'amuzi Startimes cha bati cha antena bei sh 30000 tu hakina tatizo local chanel bule kipo dar mwenye uhitaji anicheki 0715992666
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari Wakuu,
Binafsi kwenye swala la kubadilisha fedha za kigeni lilikua lina nichanganyaga kujua Zile Rates zina ku-affect vp. Sell rate inatumika muda gani na Buy Rate inatumika muda gani. Ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.