Vyumba vinapangishwa

Vyumba vinapangishwa

Entreprenuare

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2019
Posts
1,616
Reaction score
1,737
Wakuu habari,

Nyumba ya vyumba viwili vinapangashwa.

Location: kimara mwisho
Price: 150,000
Contact: 0654171555 (WhatsApp)
Note: Huduma zote zipo, Maji, Umeme

Kwa maelezo zaidi nicheki kwa namba hiyo hapo juu.

Hakuna udalali hapo

IMG_2628.JPG
IMG_2629.JPG

IMG_2631.JPG

IMG_2632.JPG

IMG_2634.JPG

IMG_2639.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Safi sana mtoa post ''hakuna udalali'' nawashangaa wengine hawajielewi wanatumia wepesi wa jamii forums kuomba kod ya mwezi mmoja, na melo angeomba chake ?

Asante kwa appreciation zako mkuu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jamani kwenye ujenzi muwe mnatafuta mafundi wenye weledi kidogo. Nyumba imekaa kama sijui kitu gani kila sehemu imejengwa vibaya milango mibaya, rangi ya ovyo, tiles za chooni utadhani kinyesi kimepakwa ukutani
 
Asante kwa ushahuri .. hapo ilipo inafanyiwa modifications , ndio maana hapo chini kama umeona kuna vifaa vya ujenzi, na cements ndani ya hicho choo..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimependa jibu lako haujapaniki wangekua wengine wangekasirika, kila la heri katika biashara yako

Shukrani, unajua watu tupo tofauti sana hasa kwenye ku respond mambo..

Karibu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Asante kwa ushahuri .. hapo ilipo inafanyiwa modifications , ndio maana hapo chini kama umeona kuna vifaa vya ujenzi, na cements ndani ya hicho choo..

Sent from my iPhone using JamiiForums
Okay vizuri maana imejengwa na fundi wa kiwango cha chini sana. Mkijenga nyumba muwe mnachukua watu wenye weledi sio kanjanja tu mitaani wanaharibu sana nyumba zetu
 
Okay vizuri maana imejengwa na fundi wa kiwango cha chini sana. Mkijenga nyumba muwe mnachukua watu wenye weledi sio kanjanja tu mitaani wanaharibu sana nyumba zetu

Hahah kweli kaka.. next time tutajipanga kwa hilo..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Naweza kupata chumba bagamoyo kiwe single halafu self ....

Sent using i phone x
 
Nichek PM , tusaidiane kutafuta.. i hope utapata..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom