Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

SOLD
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Anza Mwaka Wako na Uhakika wa Umeme Wa Solar Toka Resco T Ltd. Ubora wa Systems zetu Upo Juu na Tunatumia Technolojia ya Kisasa. Mawasiliano: 0784232526 Tupo Dar es Salaam, Nyerere Road EAGT...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Gari aina ya Toyota Voltz inahitajika hapa iwe na plate number ya angalau DL na kuendelea. Niuzie mimi kana unayo au kama unauza. Njoo na offer ya Bei yako then mimi nitajipima uwezo wangu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Tunauza mbao zenye dawa (treated) kwa Bei ya ofa kwa msimu wa sikukuu. BEI KWA MBAO ZA FUTI 20 2x4 sh 750 kwa futi 2x4 sh 350 kwa futi BEI KWA MBAO ZA FUTI 12 2x4 sh 6500 kwa PC 2x2 sh 3500 kwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari ya uzima wakuu? Naombeni msaada kwa anaefahamu vijiji bora kwa ulimaji na udharishaji wa maharage hasa ya njano kwa mkoa wa morogoro au mbeya. Lengo ni mimi kufika kwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ijue Happy Valley Day Care center!, Mlete Mteja Upate 50,000 kama zawadi yako
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Natafuta duet, vitz au starlet, bei isizidi 4.5m. Namba yangu ni 0787069996. Wenye kukebehi na kubeza, sitishiki na nyie, macho yangu yamesoma kebehi nyingi Sana hapa jamvini. Kebehi haziui, wala...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu za mwaka mpya, Mwenzangu anataka kufanya biashara ya boda boda sasa ameniomba ushauri anunue used 2 au mpya moja na ana 1.8 M. Mimi nimemwambia anipe muda ili nimshauri vizuri, kwa kuwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Air Conditioner zinauzwa zipo saba, kila moja ni laki nane na zipo kwenye good condition, kwa anaehitaji piga no. 0744833541.
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Habari Njema kwa Wamiliki wa Biashara ndogondogo Hapa ninazungumzia wale wafanya biashara ambao wanafanya biashara na ambao hawana uwezo au ujuzi wa kuwa na kitengo maalum cha fedha na ambao...
0 Reactions
0 Replies
581 Views
pata sweaters kali na za kisasa Price Brand :zuNGU jumla : 16000 rejareja : 18000 contacts : 0756 680 763 picha check me whatsapp location : Dar es salaam kuvaa ni kitu ambacho
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi wanabodi, Ni msingi wa ghorofa 3, ilidizainiwa kama hotel, Tunatafuta mtu, Shirika au taasisi ya kuingia Nayo ubia katika ujenzi wa Jengo, Eneo liko sehemu nzuri sana Morogoro mjini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tunakodisha
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Unasumbuliwa na simu yako: IPHONE SAMSUNG TABLETE ... Fundi niko kariakoo mtaa wa Aggrey na Msimbazi , Tuna flash na kutoa lock... Tuna badilisha vioo yani display pamoja na tach, yani screen...
3 Reactions
39 Replies
10K Views
Naitwa Eliakim Xavery Migayo, Nipo Mwanza Manispaa ya Ilemela Kata ya Buswelu, mtaa Buswelu" A" *Shughuli yangu ni Mjasiliamali Mtengenezaji wa bidhaa za ngozi hususani Viatu vya wazi(Sandals) na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, Mimi ni msanifu kwa lugha ya kiswahili lakini lugha ya mzungu ni Graphics Designer na kwakuwa nafanya aina zote za usanifu wa digital multimedia includes interactive...
0 Reactions
1 Replies
843 Views
Salaam, Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta wazo (mji mpya) Kutoka njia panda wazo ni km 6 Kiwanja kipo kwenye mtaa mzuri na uliopangika Ukubwa wa kiwanja ni sqm 1200 Kiwanja kipo full surveyed Bei: 35m...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
  • Closed
wakuu kuna Nyumba Ya kupanga inahitajika
0 Reactions
70 Replies
6K Views
Habari wakuu.Kutokana na kuhamia biashara nyingine ya mkaa mbadala, nauza biashara ya yangu ya utengenezaji sabuni bila kutumia mashine iliyo na makazi mapya hapa Kibaha mjini,kata ya Misugu sugu...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Back
Top Bottom